DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.

Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema

 
Inga 1 na 2 ilifanyika wakati wa Mobutu ,yeye ndiye alianzisha huo mradi wenye uwezo wa kugawa umeme wa kutosha Africa nzima na bado ukabaki
Ilikuaje haukufanyika uje kufanyika leo?
 
Inga 1 na 2 ilifanyika wakati wa Mobutu, yeye ndiye alianzisha huo mradi wenye uwezo wa kugawa umeme wa kutosha Africa nzima na bado ukabaki.
Hongera kwake, maana hiyo 1 na 2 ndio engine ya uchumi wa Kongo hadi leo hii, huwa nawashangaa sana wanaokejeli miradi ya ufuaji umeme wa maji, nawashangaa sana!
 
Ilikuaje haukufanyika uje kufanyika leo?

Mkuu,ulikua ni mradi wa awamu kutokana na kwamba unahitaji pesa ndefu mno hivo basi mobutu akatekeleza awamu ya kwanza miaka ya 70 na baadae akatekeleza awamu ya pili zilitumia pesa nyingi sana ma billion ya usd,yani kwa kifupi hakuna nchi inaweza kuutekeleza huu mradi kwa wakati mmoja.

Mobutu alipanga autekeleze kwa awamu tatu ili ukikamilika asambaze umeme Africa nzima maana hapo kuna gigawatt sio megawatt.
 
Mmmmhhhh
40,000MW?

Hii kama si nadharia, Itakua baba lao.
Three Gorges Dam itasubirii...

Sijajua watatega maporomoko ya wapi kuzalisha huo mzigo,
Hapo lazima evacuation kubwa ifanyikee
 
mkuu,ulikua ni mradi wa awamu kutokana na kwamba unahitaji pesa ndefu mno hivo basi mobutu akatekeleza awamu ya kwanza miaka ya 70 na baadae akatekeleza awamu ya pili zilitumia pesa nyingi sana ma billion ya usd,yani kwa kifupi hakuna nchi inaweza kuutekeleza huu mradi kwa wakati mmoja.Mobutu alipanga autekeleze kwa awamu tatu ili ukikamilika asambaze umeme Africa nzima maana hapo kuna gigawatt sio megawatt.
aiseee basi congo ni nchi tajiri kuliko zote barani afrika
 
Mmmmhhhh
40,000MW?

Hii kama si nadharia, Itakua baba lao.
Three Gorges Dam itasubirii...

Sijajua watatega maporomoko ya wapi kuzalisha huo mzigo,
Hapo lazima evacuation kubwa ifanyikee
Hiyo 40,000 MW ni kwa mabwa yote 8 yatakayojengwa along the river, Inga 1 na Inga 2 zilishajengwa zamani na zinazalisha umeme, hii ya sasa hivi ni Inga 3 ya kuzalisha MW 11,000
 
aiseee basi congo ni nchi tajiri kuliko zote barani afrika
Utajiri wa Rasilimali ofcourse, shida ni kuweza kuzitumia hizo rasilimali ili ziingize pesa, shida ipo hapo tu. Ni kama sisi tunavyowekewa vikwazo vya kimazingira wakati wa ujenzi wa Rufiji, ona Lissu na Zitto wanavyotumika vibaya kukwamisha hili bwawa, ni ushenzi tu!
 
Fafanua kidogo hapo kwenye utajiri wa Kongo.. kufukiwa chini ndio nini? Maana kama ni utajiri wa rasilimali nasisi tumo tena kuwazidi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

hakuna nchi Africa imewazidi congo kwa utajiri wa chini ya Ardhi,sisi tumezidi nchi kama Kenya, Uganda nk sio congo. unajua hata computer, smart phones nk baadhi ya material yanatoka congo? unajua mabomu yale ya atomic yalitengenezwa kwa material ya Congo, yani wana almasi, Dhahabu, Copper, Cobalt nk
 
Hiyo 40,000 MW ni kwa mabwa yote 8 yatakayojengwa along the river, Inga 1 na Inga 2 zilishajengwa zamani na zinazalisha umeme, hii ya sasa hivi ni Inga 3 ya kuzalisha MW 11,000
Hapo sawa sawa kabisaa....
11,000MW inawezekanaa...

Tanzania wenyewe sidhani kama uzalishaji wetu wote mpk gas unafika 2000MW
 
Mmmmhhhh
40,000MW?

Hii kama si nadharia, Itakua baba lao.
Three Gorges Dam itasubirii...

Sijajua watatega maporomoko ya wapi kuzalisha huo mzigo,
Hapo lazima evacuation kubwa ifanyikee

congo ni kubwa sana mkuu,Mobutu amewahi mpaka kufanya project ya rocket alitoa eneo kubwa sana nadhani linakaribia kulingana na baadhi ya nchi akawapa wajerumani warushe rocket hapo
 
Back
Top Bottom