DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.

Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema

Mmmh!!! wanamshirikisha mchina!!! hawajifunzi kutoka Zambia!!
 
Uunajipongeza kujenga bwawa la kuzalisha megawatt 2000 tu

Unasahau kuwa tulitelekeza mradi wa gas wenye kuzalisha megawatt mara tatu zaidi ya hilo bwawa ???

Tanzania imejaa wajinga wengi sana
Kinyerezi 1 - 4 zimtekelezwa, hiyo nyingine ni mradi mwingine
 
hata sisi watanzania hatunufaiki na mali zetu, unajua Laurent kabila alimpa Kagame na Museveni magunia ya Madini mwaka 1999 kama shukrani ya kusaidiwa vita ? yani madini ya nchi za Africa yanatumiwa vibaya
kweli hili bara giza mpaka kwenye ubongo
 
hahaha[emoji23],ila Kagame inatakiwa siku akutane na kauzu mmoja amchape vita tu maana anaharibu nchi za wenzake sana yule jamaa
Hahah lkn kwa case ya Congo wao ndio walimchokoza.

1.Early 1990's Mobutu alituma Special forces kumsaidia Habyarimana(rais wa Rwanda wkt huo) kupambana na waasi (RPA ya kina kagame) na vikosi vya Mobutu viliua sana Raia wa Rwanda na kuiba mali zao mpk Habyarimana akawafukuza warudi Congo.

2.Baada ya kina PK kuikamata Rwanda wanajeshi wa Serikali iliyopinduliwa+Interahamwe walikimbilia Congo na Mobutu akawa anawapa silaha na training wakawa wanakuja kushambulia Rwanda,nadhani kilichotokea ni Mobutu kuchomolewa madarakani na Congo kua hivyo ilivyo mpk leo.
 
Mobutu bana,yule mzee alikuwa after Money[emoji23] yeye ni mzalendo kwa nchi yake tu lakini katika urafiki na marais wa nje aliwasaidia ili anufaike na kitu,kapiga pesa nyingi sana pale Angola ndio maana hata watoto wake licha ya kuwa na elimu nzuri huwa hawafanyi kazi siku hizi
 
Hahah Mobutu nadhani itikadi zake zilikua ni kazi na bata na sio ile Kazi tu.
 
[emoji1787]kabisa,ndio maana wengine wanadai aliwaroga wacongo wote. maana walikuwa wafanyakazi wa migodi wanaenda kumsalimia na dhawadi ya almasi briefcase nzima. mara wanakijiji wanampa dhawadi ya mbuzi akienda kijijini
 
Hiyo ni kawaida kwa nchi nyingi za Afrika, rasilimali hazifaidishi wananchi wa nchi husika. Na wale wanaofaidi wakaja na msemo wao kabisa kwamba hizo rasilimali kwa nchi za Afrika ni laana kwa raia wake na sio baraka.
Hilo ni kweli wanaita laana nakuja kwa kujipambanua kwa uwekezaji!
 
hata sisi watanzania hatunufaiki na mali zetu, unajua Laurent kabila alimpa Kagame na Museveni magunia ya Madini mwaka 1999 kama shukrani ya kusaidiwa vita ? yani madini ya nchi za Africa yanatumiwa vibaya
Ndiyo yale yale mantanange hakuna wakumcheka mwenzie maana sote tuna vipara
 
Back
Top Bottom