FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #141
Kama Bwawa la Kariba limekauka na kushindwa kuzalisha umeme, Bwawa la Nyerere litatoa wapi maji?
Habari memba wa Bodi. Habari zinazo trend huko Zimbabwe Ni Kupungua kabisa kwa Maji kwenye bwawa kubwa la kuzalisha Umeme la Kariba na kupelekea kusitishwa kwa uzalishaji umeme huku Chanzo likiwa Ni Ukame. Swali Kama Hali ndio hiyo inayoikumba mabwawa makubwa ya kuzalisha Umeme na...