mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Wananchi waliandamana sana tu,Catholic lilitoa msimamo wake kumuunga mkono huyo jamaa aliyechakachuliwa lkn walikosa uungwaji mkono wa Jumuiya yoyote ya kimataifa kama vile SADC/AU/Nchi jirani so ikabidi wawe wapole tu na Tshisekedi akaendelea kula maisha bila tabu.Inakuwaje anachakachuliwa alafu anakuwa mpole ?
huyu si anaungwa mkono na Roman Catholic na ambao ni wengi DRC?