DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

Unatupa taarifa au unataka tusiridhike na cha kwetu au itakuwa wewe ni mkongo unajisifia na rasilimali zenu?
Unawajua wabongo kwa kuponda vyao? Alotuloga kafa.halafu mbona tulisoma hilo.jina dam ina maana dam lilikuwepo?
 
Hivi biashara kubwa ya Marais ni ipi? Niliwahi kusikia tetesi majengo marefu yote Kigali ni ya Kagame.
wana deal na ma hotel,real estates ambayo ndio hayo majengo makubwa , Migodi na vitu kama hivo vyenye pesa nyingi.
inawezekana ikawa kweli maana ma rais wengi wa Africa wana majumba kuanzia 10,ukifuatilia majumba alitokua anakaa gadafi unaambiwa alikuwa halali sehemu moja siku mbili mfululizo
 
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.

Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema

Sijakuelewa hata unamaanisha nini, kwamba Congo ni zaidi ya hata huko Ulaya?[emoji16][emoji23]..ulishafika lakini huko? So unataka kuona watu hapa wanaanza kuponda nchi yetu? Si uhamie Congo ukafagie na kukata majani nyumbani kwa Mopao
 
Soma tena ulichoandika
 
N
Mnachodanganya watu ni kuwa Mfumo wa Udikteta ni zao la Afarika.

Udikteta ni zao la Mabeberu pia.
Mifumo ya kiafrika ilikua ni ya kichifu.

Na ilikua ni ya koo na makabila yenye nguvu tuu.

Tanganyika pekee ilikua ni muunganiko waakabila 125 yenye Utawala wao kamili.
Hivyo kama sio Mkoloni Mjerumani kuja Tanganyika na kutuchorea mipaka Leo hii tungekua na Nchi 125 zenye marais wake au machifu wake au wafalme wake.

Hao Machifu 125 kila mmoja na kabila lake na dini yake au mila zake na matambiko yake yasiyoingiliana na makabila mengine.
Kila kabila lilipigana vita kulinda ardhi yake. Mkoloni alipokuja akatwaa ardhi yote ya Tanganyika ili imilikiwe na watanganyika wa makabila yote 125 kupitia Gavana mmoja ambaya alimiliki ardhi yote kwa niaba ya wote.

Kama sio mkoloni kamwe Msukuma au Mzanaki au Mmakonde au Mkwere asingeweza kamwe mpaka Kiyama kutawala taifa lenye makabila 125 na mila tofauti na matambiko tofauti.

Mkwere angetawala wakwere wenzake kidikteta na msukuma angetawala wasukuma wenzake kidikteta hata Jirani zake Wanyamwezi asingeweza kuwatawala.

Waafrika tufikirie nje ya Box la utumwa mpya umaofanywa na watawala kwa kutandikia historia za kuwakweza Watawala na kuficha ukweli.

Mtu anakuambia kuwa kiswahili kilianzishwa na MTU Fulani wakati huo huo MTU huyo alitumia kiswahili kupiga Kampeni Nchi nzima wakati wa mkoloni.
Vipi mtu atoke Bara wasiojua kiswahili hata cha kuongea aende kueneza kiswahili nchi nzima hasa Pwani wakati huo huo Zanzibar hakuna Lugha nyingine zaidi Kiswahili. Inaingia akilini!!
Nimekataa kupewa historia za uongo .
Nilibahatika sana kukaa na wazee wa zamani na bahati nzuti Bibi yangu aliishi zaidi ya miaka 110.Alinisimulia mambo mengi sana ya zamani.
Wasomi wengi wanatudanganya kwa sababu za kuuza vitabu vyao kupitia serikali wanazozipamba lakini historia nyingi ni feki.
 
Hivi biashara kubwa ya Marais ni ipi? Niliwahi kusikia tetesi majengo marefu yote Kigali ni ya Kagame.
Umewahi kujiuliza nani waliopo nyuma ya kina Bakhressa, Abood,Shabiby , GGM, GSM na mahoteli kama 77 ,Ngurudoto .?

Afrika tunachokosea ni kuwaona Watawala kama miungu wasio na dhambi na kuamini maneno yao ya midomoni bila kujua kuwa wale ni watu kama watu wengine tofauti yao ni kuwa ni watu wasio ridhika hata uwape Dunia nzima . Ni watu walioumbwa na tamaa na uroho wa hali ya juu kuliko wengine.
Hivi Hussen Mwinyi anatafuta nini?
Membe anatafuta nini!!
Na wengineo wanaotishia mpaka kupindua matokeo ili hali wameshakalia viti vya madaraka kwa miaka mingi lakini wanatulia mabilioni na kila aina ya hila ili wabakie madarakani.
Kifupi watawala duniani kundi la watu wanaotamani kujijengea paradiso hapa duniani bila kujali . Ni watu wasioridhika kukaa pembeni na kiongozwa.
Ndio maana vita na vurugu zote zinaanzishwa na watawala wanapokataa kuwaachia wengine kiti.

Bahati mbaya Afrika watawala ndio wanaotutungia mpaka katiba za kututawala kama walivyofanya wakoloni.
 
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.

Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema

Before the proper rise of DRC, Tanzania will lead the way as the most successful.
Kuiondoa rushwa na utapeli wa kifaransa DRC, sio kazi ndogo
 
Kwa file alishafariki,wewe uliyeko hai undo fursa yako kutekeleza mpango
Nyerere wakati wa kupata uhuru alitakiwa avichukue hivi vi Rwanda na Burundi halafu tukaichomoe hiyo Kivu huko Congo
 
Tatizo la Inga siku zote ni project ya vitabuni.... ikifanyika kwa full potential yake, inaweza kuhudumia Afrika nzima
 
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.

Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema

Hio trillion $2000 hata Marekani Hana, Deni la Taifa la Marekani ni Trilioni $26
 
Inakuwaje anachakachuliwa alafu anakuwa mpole ?

huyu si anaungwa mkono na Roman Catholic na ambao ni wengi DRC?
Exactly,Fayulu walimchakachua lkn ndiye mshindi wa uchaguzi uliopita na hata ujao atashinda tena lkn watachakachua tena kama kawaida.
 
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.

Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema

Hawa wanavurugwa tu na watu wa magharibi na wachina,DRC akitulia hamna nchi itakayo msogelea kiuchumi.
 
Back
Top Bottom