Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Je ni kweli au uzushi?Hii ni ukweli kabisa,hata enzi za JK majengo yote ya ghorofa na biashara zote mpya/kubwa hapa mjini zilikua ni za Ridhiwan na dingi ake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni kweli au uzushi?Hii ni ukweli kabisa,hata enzi za JK majengo yote ya ghorofa na biashara zote mpya/kubwa hapa mjini zilikua ni za Ridhiwan na dingi ake.
Ni kweli kwa 100%,kama vile wakina JK na Ridhiwani.Je ni kweli au uzushi?
Unawajua wabongo kwa kuponda vyao? Alotuloga kafa.halafu mbona tulisoma hilo.jina dam ina maana dam lilikuwepo?Unatupa taarifa au unataka tusiridhike na cha kwetu au itakuwa wewe ni mkongo unajisifia na rasilimali zenu?
wana deal na ma hotel,real estates ambayo ndio hayo majengo makubwa , Migodi na vitu kama hivo vyenye pesa nyingi.Hivi biashara kubwa ya Marais ni ipi? Niliwahi kusikia tetesi majengo marefu yote Kigali ni ya Kagame.
Sijakuelewa hata unamaanisha nini, kwamba Congo ni zaidi ya hata huko Ulaya?[emoji16][emoji23]..ulishafika lakini huko? So unataka kuona watu hapa wanaanza kuponda nchi yetu? Si uhamie Congo ukafagie na kukata majani nyumbani kwa MopaoSikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.
Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema
Soma tena ulichoandikaSijakuelewa hata unamaanisha nini, kwamba Congo ni zaidi ya hata huko Ulaya?[emoji16][emoji23]..ulishafika lakini huko? So unataka kuona watu hapa wanaanza kuponda nchi yetu? Si uhamie Congo ukafagie na kukata majani nyumbani kwa Mopao
NNjoo kwenye uzi husika nikunyooshe vilivyo, hapa umepotea njia
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Umewahi kujiuliza nani waliopo nyuma ya kina Bakhressa, Abood,Shabiby , GGM, GSM na mahoteli kama 77 ,Ngurudoto .?Hivi biashara kubwa ya Marais ni ipi? Niliwahi kusikia tetesi majengo marefu yote Kigali ni ya Kagame.
Kulinganishana kimaendeleo muhimu mkuu.Kwhiyo kwa sababu mke wa jirani ana kalio kubwa basi wangu kimbaumbau siruhusiwi kuwalingishia watu?
HaswaaaKulinganishana kimaendeleo muhimu mkuu.
Tanzania tuko na megawatt 1,500+Tanzania wenyewe sidhani kama uzalishaji wetu wote mpk gas unafika 2000MW
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.
Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema
Nyerere wakati wa kupata uhuru alitakiwa avichukue hivi vi Rwanda na Burundi halafu tukaichomoe hiyo Kivu huko Congo
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.
Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema
Exactly,Fayulu walimchakachua lkn ndiye mshindi wa uchaguzi uliopita na hata ujao atashinda tena lkn watachakachua tena kama kawaida.