DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

Inakuwaje anachakachuliwa alafu anakuwa mpole ?

huyu si anaungwa mkono na Roman Catholic na ambao ni wengi DRC?
Wananchi waliandamana sana tu,Catholic lilitoa msimamo wake kumuunga mkono huyo jamaa aliyechakachuliwa lkn walikosa uungwaji mkono wa Jumuiya yoyote ya kimataifa kama vile SADC/AU/Nchi jirani so ikabidi wawe wapole tu na Tshisekedi akaendelea kula maisha bila tabu.
 
hivi chanzo kikubwa cha fayulu kutokumuelewa pk ni nini hasa
Wananchi waliandamana sana tu,Catholic lilitoa msimamo wake kumuunga mkono huyo jamaa aliyechakachuliwa lkn walikosa uungwaji mkono wa Jumuiya yoyote ya kimataifa kama vile SADC/AU/Nchi jirani so ikabidi wawe wapole tu na Tshisekedi akaendelea kula maisha bila tabu.
 
Hilo la ethiopia ni dogo sana kwa Inga, mkuu pitia Google ukasome huo mradi wa Inga, tatizo tu baada ya Mobutu kuondoka haukuendelezwa wala kukarabatiwa, miradi mingi ya umeme ya Mobutu imetelekezwa sasa wananchi wanakosa umeme.
Na sasa baada ya Magufuli kuondoka, Rufiji itakamilishwa?
 
kusema ukweli, kwa experience yangu kwa hapa Tanzania siasa zetu zilivo ni kwamba hao unauwaona wanaupinga wametumwa ku beep huenda kuna agenda ya kuutelekeza
hivyo basi nina wasi wasi kama utakamilika kwa wakati
Ukiangalia hii clip ndio utajua bwana Mukweli hamna kitu kichwani
 
Ukiangalia hii clip ndio utajua bwana Mukweli hamna kitu kichwani

nitaipitia mkuu, lakini nasikia pia bwana mukweli ndiye alimshauri mkwere ile bandali ya Bagamoyo, alipoingia Meko pia akashauriwa na bwana Mukweli kwamba ile bandari haina maana na mradi wa Rufiji ni bora zaidi ya Gas, Sasa samia tena kaingia, kina bwana mukweli wanapinga mradi wa Rufiji na kui favor Gas
 
Mmmmhhhh
40,000MW?

Hii kama si nadharia, Itakua baba lao.
Three Gorges Dam itasubirii...

Sijajua watatega maporomoko ya wapi kuzalisha huo mzigo,
Hapo lazima evacuation kubwa ifanyikee
Daaaah
 
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.

Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema

Nilishangaa sana kipindi cha mobutu Congo DRC ilipaa hadi kuwa no. 2 afrika yaani ukiitoa south Africa ilifuata Congo kwa GDP from there nilijua Congo si wa mchezomchezo.
 
Nilishangaa sana kipindi cha mobutu Congo DRC ilipaa hadi kuwa no. 2 afrika yaani ukiitoa south Africa ilifuata Congo kwa GDP from there nilijua Congo si wa mchezomchezo.
Ni hawa akina Kagame na mabeberu ndio wanaiyumbisha DRC, otherwise hawa jamaa ni matajiri balaaaa
 
Back
Top Bottom