FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Pumba kabisaKwhiyo kwa sababu mke wa jirani ana kalio kubwa basi wangu kimbaumbau situhisiwi kuwalingishia watu?
Hapana, najipongeza kuwa katika taifa la Tz ambalo limshtuka mapema kuanza mtadi mkubwa wa Rufiji kabla hatujaachwa kwenye mataa na majirani wanaotuzunguka.Unatupa taarifa au unataka tusiridhike na cha kwetu?
Ilikuaje haukufanyika uje kufanyika leo?Inga 1 na 2 ilifanyika wakati wa Mobutu ,yeye ndiye alianzisha huo mradi wenye uwezo wa kugawa umeme wa kutosha Africa nzima na bado ukabaki
Hongera kwake, maana hiyo 1 na 2 ndio engine ya uchumi wa Kongo hadi leo hii, huwa nawashangaa sana wanaokejeli miradi ya ufuaji umeme wa maji, nawashangaa sana!Inga 1 na 2 ilifanyika wakati wa Mobutu, yeye ndiye alianzisha huo mradi wenye uwezo wa kugawa umeme wa kutosha Africa nzima na bado ukabaki.
Ilikuaje haukufanyika uje kufanyika leo?
Hii inayotaka kufanyika ni Inga 3, Inga 1 na 2 zipo zinazalisha umeme toka hiyo miaka ya 70 & 80ilikuaje haukufanyika???uje kufanyika leo
aiseee basi congo ni nchi tajiri kuliko zote barani afrikamkuu,ulikua ni mradi wa awamu kutokana na kwamba unahitaji pesa ndefu mno hivo basi mobutu akatekeleza awamu ya kwanza miaka ya 70 na baadae akatekeleza awamu ya pili zilitumia pesa nyingi sana ma billion ya usd,yani kwa kifupi hakuna nchi inaweza kuutekeleza huu mradi kwa wakati mmoja.Mobutu alipanga autekeleze kwa awamu tatu ili ukikamilika asambaze umeme Africa nzima maana hapo kuna gigawatt sio megawatt.
Hiyo 40,000 MW ni kwa mabwa yote 8 yatakayojengwa along the river, Inga 1 na Inga 2 zilishajengwa zamani na zinazalisha umeme, hii ya sasa hivi ni Inga 3 ya kuzalisha MW 11,000Mmmmhhhh
40,000MW?
Hii kama si nadharia, Itakua baba lao.
Three Gorges Dam itasubirii...
Sijajua watatega maporomoko ya wapi kuzalisha huo mzigo,
Hapo lazima evacuation kubwa ifanyikee
Utajiri wa Rasilimali ofcourse, shida ni kuweza kuzitumia hizo rasilimali ili ziingize pesa, shida ipo hapo tu. Ni kama sisi tunavyowekewa vikwazo vya kimazingira wakati wa ujenzi wa Rufiji, ona Lissu na Zitto wanavyotumika vibaya kukwamisha hili bwawa, ni ushenzi tu!aiseee basi congo ni nchi tajiri kuliko zote barani afrika
Aiseee basi Congo ni nchi tajiri kuliko zote barani afrika
Fafanua kidogo hapo kwenye utajiri wa Kongo.. kufukiwa chini ndio nini? Maana kama ni utajiri wa rasilimali nasisi tumo tena kuwazidi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hapo sawa sawa kabisaa....Hiyo 40,000 MW ni kwa mabwa yote 8 yatakayojengwa along the river, Inga 1 na Inga 2 zilishajengwa zamani na zinazalisha umeme, hii ya sasa hivi ni Inga 3 ya kuzalisha MW 11,000
Mmmmhhhh
40,000MW?
Hii kama si nadharia, Itakua baba lao.
Three Gorges Dam itasubirii...
Sijajua watatega maporomoko ya wapi kuzalisha huo mzigo,
Hapo lazima evacuation kubwa ifanyikee