DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

Fafanua kidogo hapo kwenye utajiri wa Kongo.. kufukiwa chini ndio nini? Maana kama ni utajiri wa rasilimali nasisi tumo tena kuwazidi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Hapana, kwa rasilimali za ardhini Congo wako vizuri sana kuzidi Tanzania, pale Congo kuna mawe ya kila aina tena kwa wingi na bado kuna black gold (oil and Gas)
 
Hapana, najipongeza kuwa katika taifa la Tz ambalo limshtuka mapema kuanza mtadi mkubwa wa Rufiji kabla hatujaachwa kwenye mataa na majirani wanaotuzunguka
Uunajipongeza kujenga bwawa la kuzalisha megawatt 2000 tu

Unasahau kuwa tulitelekeza mradi wa gas wenye kuzalisha megawatt mara tatu zaidi ya hilo bwawa ???

Tanzania imejaa wajinga wengi sana
 
Ukiachilia mbali almas,dhahabu n.k hujui kuwa tuna matrilioni ya gesi asili baharini?, Gesi nyingine juzijuzi ya helium wamegundua bonde la ufa? Hujui kuwa tuna mabilioni ya tani za makaa ya mawe? Hujui tuna hifadhi ya kutosha ya Madini ya atomic marogoro? Maliasili zingine kama bahari,na wanyama?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu anayetumika hata.

Kwahiyo Magufuli naye alitumika kukwamisha mradi wa Gas ?
 
Nyerere wakati wa kupata uhuru alitakiwa avichukue hivi vi Rwanda na Burundi halafu tukaichomoe hiyo Kivu huko Congo
 

1.cobalt. 2. copper. 3diamond, 4. tantalum, 5. tin. 6. gold

kitu pekee tumewazidi Congo ni Tanzanite tu maana ipo Tanzania tu,hayo ma gas wanayo sana,kama tungekuwa tunawazidi leo hizi simu zingekuwa zimetengenezwa na material yetu,we fikilia dunia nzima inategemea congo ili itumie simu,laptop nk
Congo ndio nchi tenye utajiri kuliko zote hapa Duniani ambao unakadiliwa kuwa usd 24 trillion
 

Hakuna madini ya atomic labda kama ulitaka kusema madini ya uranium.
 
Nadhani ilichotakiwa ni kutaja kiwango cha umeme kitakachozalishwa baada ya kuisha ili tuangalia na hizo dam zingine hivi ni Hadith tuu Mkuu...
 
Nyerere wakati wa kupata uhuru alitakiwa avichukue hivi vi Rwanda na Burundi halafu tukaichomoe hiyo Kivu huko Congo

ulikuwepo mpango wa kuunganisha nchi za kenya,uganda,Tz,rwanda,Burundi ,zambia,Zaire ziwe nchi moja ila tatizo hakuna mtu alitaka kumpa mwenzie urais, lakini wangekubaliana kipindi kile alafu leo tungekuwa tumeungana basi tungekuwa mbali mno
mkuu mpaka kufikia miaka ya 80 misitu ya Congo zaidi ya 80% ilikuwa bado binadamu hajaitembelea yote,yani ilikua unexplored ikawa inasemekana kuna viumbe wa ajabu huko ndani
 
Hata kama hao wengine waligoma angeingia Rwanda na Burundi kuwa na access na Congo ingekuwa rahisi sana.

Sasa hivi Rwanda na Uganda wanapambana kunyonya kila kilichopo Congo kwa mgongo wa waasi
 
Hata kama hao wengine waligoma angeingia Rwanda na Burundi kuwa na access na Congo ingekuwa rahisi sana.

Sasa hivi Rwanda na Uganda wanapambana kunyonya kila kilichopo Congo kwa mgongo wa waasi

Usafiri kupitia ziwa Tanganyika ukitengemaa kama mipango na utekelezaji ilivyo mbona kitaumana hapo kati!?..ni suala la muda tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…