Kuvuka ziwa bado hakutakuwa na connection nzuri kule Rwanda na Burundi kungekuwa rahisi zaidi.Usafiri kupitia ziwa Tanganyika ukitengemaa kama mipango na utekelezaji ilivyo mbona kitaumana hapo kati!?..ni suala la muda tu...
CCM iliuza gesi kwa MabeberuMladi wa gas haukuwa wa kunufaisha inchi ulikuwa wakuumiza nchi, ndo maana magu akaachana nao akaanzisha miradi yenye tija.
Kuvuka ziwa bado hakutakuwa na connection nzuri kule Rwanda na Burundi kungekuwa rahisi zaidi.
ndio mkuu,UG na RW wameiba sana ila sasa hivi tshisekedi amewabana
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.
Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema
Mkuu,Tshisekedi amewabanaje wkt Kagame na Felix ni washkaji kinyama mpk wacongo wenyewe wanalalamika na hata sasa wana joint military operations huko Porini RDF+FARDC.
Kinyerezi 1 - 4 zimtekelezwa, hiyo nyingine ni mradi mwingineUunajipongeza kujenga bwawa la kuzalisha megawatt 2000 tu
Unasahau kuwa tulitelekeza mradi wa gas wenye kuzalisha megawatt mara tatu zaidi ya hilo bwawa ???
Tanzania imejaa wajinga wengi sana
Ni kama masharti ya bandari ya Bagamoyo, alisema ni mlevi tu anaweza kukubali yale mashartiMladi wa gas haukuwa wa kunufaisha inchi ulikuwa wakuumiza nchi, ndo maana magu akaachana nao akaanzisha miradi yenye tija.
Mwenye noma na Kagame ni yule jamaa wa upinzani anayeitwa Martin Fayulu,huyu siku akiwa Rais lazima wazichape.kumbe,basi kuna habari niliisoma itakuwa lilikuwa tango pori,nilisoma kwamba amewakanya wakae mbali na congo
kweli hili bara giza mpaka kwenye ubongohata sisi watanzania hatunufaiki na mali zetu, unajua Laurent kabila alimpa Kagame na Museveni magunia ya Madini mwaka 1999 kama shukrani ya kusaidiwa vita ? yani madini ya nchi za Africa yanatumiwa vibaya
Mwenye noma na Kagame ni yule jamaa wa upinzani anayeitwa Martin Fayulu,huyu siku akiwa Rais lazima wazichape.
kweli hili bara giza mpaka kwenye ubongo
Hahah lkn kwa case ya Congo wao ndio walimchokoza.hahaha[emoji23],ila Kagame inatakiwa siku akutane na kauzu mmoja amchape vita tu maana anaharibu nchi za wenzake sana yule jamaa
Hahah lkn kwa case ya Congo wao ndio walimchokoza.
1.Early 1990's Mobutu alituma Special forces kumsaidia Habyarimana(rais wa Rwanda wkt huo) kupambana na waasi (RPA ya kina kagame) na vikosi vya Mobutu viliua sana Raia wa Rwanda na kuiba mali zao mpk Habyarimana akawafukuza warudi Congo.
2.Baada ya kina PK kuikamata Rwanda wanajeshi wa Serikali iliyopinduliwa+Interahamwe walikimbilia Congo na Mobutu akawa anawapa silaha na training wakawa wanakuja kushambulia Rwanda,nadhani kilichotokea ni Mobutu kuchomolewa madarakani na Congo kua hivyo ilivyo mpk leo.
Hahah Mobutu nadhani itikadi zake zilikua ni kazi na bata na sio ile Kazi tu.Mobutu bana,yule mzee alikuwa after Money[emoji23] yeye ni mzalendo kwa nchi yake tu lakini katika urafiki na marais wa nje aliwasaidia ili anufaike na kitu,kapiga pesa nyingi sana pale Angola ndio maana hata watoto wake licha ya kuwa na elimu nzuri huwa hawafanyi kazi siku hizi
Hahah Mobutu nadhani itikadi zake zilikua ni kazi na bata na sio ile Kazi tu.
Hilo ni kweli wanaita laana nakuja kwa kujipambanua kwa uwekezaji!Hiyo ni kawaida kwa nchi nyingi za Afrika, rasilimali hazifaidishi wananchi wa nchi husika. Na wale wanaofaidi wakaja na msemo wao kabisa kwamba hizo rasilimali kwa nchi za Afrika ni laana kwa raia wake na sio baraka.
Ndiyo yale yale mantanange hakuna wakumcheka mwenzie maana sote tuna viparahata sisi watanzania hatunufaiki na mali zetu, unajua Laurent kabila alimpa Kagame na Museveni magunia ya Madini mwaka 1999 kama shukrani ya kusaidiwa vita ? yani madini ya nchi za Africa yanatumiwa vibaya
Ndiyo yale yale mantanange hakuna wakimcheka mwenzie maana sote tuna vipara
Ndiyo hivyokweli kabisa Boss.wote sisi ni wale wale