DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

Naamini hata viongozi wa Congo-DRC wamepewa fedha,sidhani kama wananchi wanajua kinachoendea,wao anything from the government is right.Ni
wakuonea huruma tu.
 
Kwani Obama si ameshatahadharisha kuwa tusikubali hizo vaccines kuingia Africa coz wamezitengeneza makusudi kwa ajili ya kuua waafrika...?

Sasa tena mbona huyu anakubali ziingie huko DRC...?
Kapewa posho mkuu.
 
Bila shaka hujui lolote kuhusu majaribio ya chanjo
 
Mtakuja kuwashukuru hao wakongo na mtaitaka chanjo tena kwa msaada maana hata uwezo wa kuinunua hamna
 
Kwani Obama si ameshatahadharisha kuwa tusikubali hizo vaccines kuingia Africa coz wamezitengeneza makusudi kwa ajili ya kuua waafrika...?

Sasa tena mbona huyu anakubali ziingie huko DRC...?
Viongozi wengi wa Africa hawawezi kusema hapana Kwa mtu mweupe, hata kama anajua si mzuri kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanataka a kuisogeza Corona karibu kama walivyo sogeza Ebola wale ndiyo maana Rwanda na Uganda wana wakung'untaga hawana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…