DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

Naona kinaendelea kunuka huko,wanajeshi wa Congo 150 wamekimbilia nchi ya Uganda baada ya mapigano na M23 na hilo eneo la Congo limechukuliwa chini na hao M23 kwa Sasa.Nadhani huu uzi tuwe tunaweka updates za huko field Hali itakavyokua inaenda mkuu.

The UGPost
  • Bunagana-1-scaled.jpg

INTERNATIONAL NEWS


M23 Rebels take over Congolese Customs at Bunagana border​

7cae40f2cf809d029a051a9ef6ee0ced

By
Sarah Biryomumaisho
Published on June 13, 2022
Panic has ensued near the Bunagana border following the capture of the Bunagana border on the side of the Democratic Republic of Congo-DRC by M23 rebels, forcing over 150 government soldiers to flee into Uganda.

The FARDC soldiers have now surrendered to Ugandan authorities at the Bunagana border. The development follows renewed fighting near the Bunagana border in Rutshuru territory, which started on Friday.
TheUgPost reporter at the border says the soldiers took refuge in Uganda following non-stop fighting on Sunday day and night.

This forced FARDC soldiers who were manning the border to abandon tanks and other kinds of weapons as they fled to Uganda.

After crossing over, the soldiers handed over all the guns to Ugandan security and were escorted to the nearby Uganda Peoples Defense Forces (UPDF) barracks in Kabaya, Bunagana.

“They have not crossed over to the Ugandan side, they just wanted the Congolese side and there is no fighting. Congolese nationals who had crossed to Uganda are allowed to cross back and pick their belongings without any issues with the M23,” our reporter says.

In the last 5 or so months, Congolese nationals have been crossing into Uganda via the Bunagana border fleeing fighting between FARDC soldiers and the rebels. any Congolese nationals are crossing into Uganda because of the heavy gunfire that can be heard at the.

According to Hajji Shafique Ssekandi Ssengoba, the Kisoro Resident District, more than 30,000 civilians have crossed into Uganda since the fighting began.

The M23 rebels fired in the air after capturing the border, as a sign of victory, taking over the main connection between Uganda-Rutshuru and Goma towns in Rutshuru territory.
kwakua makamanda wako hapo goma,toka eac na sadc,ngoja tuone itakuaje
 
Mambo mengine muwe mnanyamaza basi.

TZ ipigane na Rwanda kweli?. Si tutapiga nchi nzima kila kona na kila Raia tutampa ulinzi wa JW .
Hizi hoja za kizamani sana zimepitwa na wakati. Vita za saivi ni za kitekinolojia zaidi na sio kuangalia ukubwa wa nchi usidanganyike na ukubwa wa nchi. na kingine hawa wenzetu ni majasiri wa vita wamekulia mazingira ya kupigana vita karibu maisha yao yote.
 
Ukitaka kujuwa ujinga wa wanywaranda....nenda border ya tz rwanda...bwelanyange border(kagera)

Kuna madudu mengi rwanda wanafanya watanzania wakivuka
Ila wao wakivuka kwetu ni tofauti
Ngoja tuishie hapa

Hili border watu wengi naona hawalijuwi....
Pascal Mayalla

Ova
Kama nyie ni wapumbavu acha wawafanye,nyie wanavuka afu mnawachekea?
 
Ndio tatizo letu watanzania, kuendekeza ushabiki wa simba yanga, Chadema na CCM hata kwenye ishu nyeti. Ukubwa wa nchi hauna impact kwenye ubora wa kivita. Israel ni taifa dogo sana, angalia anavyosumbua mataifa makubwa ya kiarabu duniani. Angalia Israel inaingia mara ngapi kwa Iran, angalia population yao na iran.

Vita sio ukubwa wa nchi, vita ni mbinu za kimedani, ubora wa silaha, ari ya wanajeshi na intelejensia imara. Ikiwa jeshi lako, lipo wazi kila mtu anajua una nini, mpo wangapi na wapi, basi kukupiga ni jambo la kawaida tu.

Nasisitiza, sio rahisi kuwapiga Rwanda kwa kukurupuka mnaweza kuunguzwa na moto msioujua umetoka wapi.
Mkuu si mwambie Kagame ajaribu tu, tujue moja!
Kwa nini kuandikia mate?
 
Ndio tatizo letu watanzania, kuendekeza ushabiki wa simba yanga, Chadema na CCM hata kwenye ishu nyeti. Ukubwa wa nchi hauna impact kwenye ubora wa kivita. Israel ni taifa dogo sana, angalia anavyosumbua mataifa makubwa ya kiarabu duniani. Angalia Israel inaingia mara ngapi kwa Iran, angalia population yao na iran.

Vita sio ukubwa wa nchi, vita ni mbinu za kimedani, ubora wa silaha, ari ya wanajeshi na intelejensia imara. Ikiwa jeshi lako, lipo wazi kila mtu anajua una nini, mpo wangapi na wapi, basi kukupiga ni jambo la kawaida tu.

Nasisitiza, sio rahisi kuwapiga Rwanda kwa kukurupuka mnaweza kuunguzwa na moto msioujua umetoka wapi.
Hii tabia ya kujifananisha na Waisrael muache hamfanani nao hata chembe, nyie ni wa kawaida sana na over rated sana ila time will tell.
 
Kwanza JWTZ huko Congo inatafuta nn? Km kulinda Aman mbna hapa kwetu Panya Road wanasumbua? Ngoro Ngoro je? Km sio unafiki na ufukunyuku n nn? Umbea na ukuda wa kiwango cha juu, tena hao M23 naona bado hawafanyi ipasavyo, wanatakiwa kuwasha motoo had wapoteane.

Nasemaje M23 piga hao JWTZ kipigo cha mbwa mwizi had wapate akili ya kurudi kwao, msieeeew unafiki tyuuh.
Unapata nafasi ya kuto**na huku ukulia kwa utamu kwa sababu kuna wanaume wameacha familia zao wanakulinda wew ...bloodfucken kuwa na adabu
 
Duh kaka unaishi shimoni? yaani Dula mbabe akampige Tyson! Rwanda ni kama Singida ipigane na Tanzania nzima!
Hujui nguvu za kijeshi za JWTZ

JWTZ sio jeshi la kitoto bado hawajaamua tu. Ukitaka kujua ubabe wa JWTZ Kagame atume waasi wake wapige mpakani na Tanzania halafu jamaa wakija waasi wakimbilie Rwanda!!

Uganda wanajua joto la JWTZ!
Uganda ip? Bongo siku tuna jeshi dhaifu na lisilo na uzoefu wa mikiki , tunapenda kufurahishana sana ,Lzm mjiuiz kwann Pk mpk kesho yupo madarakan kuna sehem katuzid , sisi nchi imelala ,ugaid km wa Mtwara au Kibiti au Pangan kutokea Rwanda ni ngumu , intelligence ipo kazin
 
We unafikiri rwanda anaweza kuwangiza wanajeshi wake
Mpk katikati ya kongo....
Sana sana yeye anavamia maeneo fulani tu na pembezoni mwa kongo
All out war hawezi kufanya kongo hata siku moja

Ova
1997 ulikuwa na umri gan?
 
Nchi zote zilizoko kwny misheni ya kupambana Huko Somalia,CAR,Congo,Sudan etc ziko pale kwa ajili ya utamu wa pesa za UN.Huoni wanajeshi wakitoka Huko wanajenga majumba,wananunua magri ya kifahari etc

Jiulize kwanini UN haipeleki majeshi huko Afghanistan,Iraq,Libya kwny mziki mnene[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Vita ni biashara jombaa
 
Back
Top Bottom