Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RDC nao wanawachekea sana hawa, ilitakiwa wakamue jipu litoe kiini.[emoji1][emoji1] Rwanda wao wanajua lengo la FARDC Ni kuwaharibia mkutano wao wa CHOGM,Sasa tusubiri CHOGM ipite(na hii Ni endapo tu Kama Rwanda itaweza kuvumilia bila kumwaga Moto kipindi hiki hiki) tuone Ni Nani ataanza kuomba cease fire,nitaku-tagg.
Hii inaonyesha Rwanda bado ina ushawishi mkubwa Sana huko Drc mashariki kwa jamii kama Banyamulenge, Wahema.Yes mkuu,
Rwanda lilikuwa Ni jeshi la kitutsi Tena walikuwa Ni waasi RPA( Rwanda Patriotic Army) wale walikuwa hawalipwi walikuwa wanajitolea kutoka rwanda civil war mpaka Congo war. RPA walikuwa wapo 26,000. Nilisikia kutoka kwa JAMES MUNYANDINDA kagame former bodyguard. Na pia BAADA ya kuchukua nchi kutoka Rwanda alichukua Genocide survivor akawapa mafunzo na wengi wake aliwapeleka congo Sasa hii inamaana waliongeza idadi. Na hata kwenye first Congo hawakuwa pekeao kumbuka kulikuwa na Uganda, Baadhi ya wanajeshi wa kitutsi kutoka Burundi, na Banyamulenge na waasi wa Congo senior kabila. So hawakuwa pekeao.
Tena kwenye second Congo war
Kulikuwa majeshi ya rwanda ya kitutsi na vikundi vya uhasi vya Congo hasa Banyamulenge na Askari wa mabotu seseko,
Nimewahi kumsikiliza Laurent nkunda batwale alisema kuwa alikuwa na vijana zaidi ya 10,000 kwenye second Congo war. Na alikuwa upande wa rwanda, na vikundi vilikuwa Ni vingi na idadi ya Askari wa rwanda Ni kweli walikuwa wengi.
Ila Ni KWAMBA WANAMOYO WA KUPIGANA HASA. Japo walikuwa wengi ila walishidwa kukimaliza kikosi Cha Angola na Zimbabwe ambavyo viliwasumbua Sana.
zitto junior
😄😄 Hata wao wanapenda kuwakamua tatizo linakuja uwezo huo wa kukamua wanao?RDC nao wanawachekea sana hawa, ilitakiwa wakamue jipu litoe kiini.
Mkuu ebu jiongeze tu kwa watutsi(wahangaza)wa TZ,inapotokea issue na kagame hata jf uwa wapo upande upi ndio itakua watutsi walioko east congo!,why kagame na sio mu7 ambaye nae mtutsi,shida ya east congo na maziwa makuu ni kagame,kawajaza ujinga watu wenye asili ya kabila ukanda wote huu while after genocide alipaswa sana awaunganishe warwanda kuwa kitu kimoja lakini ameshindwa na kuwafanya wahutu kama watumwa ikiwa wao ni zaidi ya 75% ya warwanda wote,siku ya kuondoka kagame rwanda patachafuka zaidi 1994Hii inaonyesha Rwanda bado ina ushawishi mkubwa Sana huko Drc mashariki kwa jamii kama Banyamulenge, Wahema.
Ni ngumu kuleta utulivu huko bila kuishirikisha Rwanda, ila inashangaza imeshindwa kumaliza tatizo la Fdlr, hii inajenga picha kwamba uwepo wa Fdlr ni mateso kwa raia wa huko, japo uwepo wao hutumika kimkakati kuendeleza mkono wa nchi jirani.
zitto junior mtu chake
Count Capone
Ikiuma,chomoa.Ila angalia isitoke na mavih mengi.Huyu jamaa nafikili Ni wale walio timuliwa mwaka 1959, 1973 na Wale waliokoswa kuuwawa mwaka 1994, Kama yeye Basi Ni wazazi wake, kashidwa tuu kurudi tu Rwanda coz ukirudi unaenda kuanza moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawajanikosea mie, wamewakosea M23 wanaopambana huko.Wanajeshi walikukosea Nini mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hasira za nn? Hivi ulielewa logic ya andiko langu? Au umekurupuka? Kawasaidie huko wanakoigwa.Kama hujui kitu bora usiongee, yaani unaongea ujinga halafu wajinga wenzio wanakusapoti! Hujui vita ni nini ,hujawahi kushika silaha, hujawahi kwenda vitani! Halafu unaropoka mtandaoni watu wakuone unajua sana!
Mpuuzi wahedi!!
Shangaaa nawee mwenzangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umepanic?
Ni kweli mkuu Bado Rwanda inaushawishi mkubwa Sana huko drc wale Banyamulenge wapo Bado lipo kundi la wanamgambo wao linaitwa NGUMINO ni la Banyamulenge lipo Kivu ya kusini linasumbua Sana na yapo mengine huko Kivu ya kaskazini na ituri na makundi kibao.Hii inaonyesha Rwanda bado ina ushawishi mkubwa Sana huko Drc mashariki kwa jamii kama Banyamulenge, Wahema.
Ni ngumu kuleta utulivu huko bila kuishirikisha Rwanda, ila inashangaza imeshindwa kumaliza tatizo la Fdlr, hii inajenga picha kwamba uwepo wa Fdlr ni mateso kwa raia wa huko, japo uwepo wao hutumika kimkakati kuendeleza mkono wa nchi jirani.
zitto junior mtu chake
Count Capone
Hapo tatizo kubwa ni uwepo wa Fdlr, hivi ni kweli Serikali ya Drc inashindwa kumaliza tatizo la Fdlr au Adf ?...maana Kila siku wanatajwa hao hao ina maana makundi mengine sio tishio ?Ni kweli mkuu Bado Rwanda inaushawishi mkubwa Sana huko drc wale Banyamulenge wapo Bado lipo kundi la wanamgambo wao linaitwa NGUMINO ni la Banyamulenge lipo Kivu ya kusini linasumbua Sana na yapo mengine huko Kivu ya kaskazini na ituri na makundi kibao.
Na ndicho kinampa jeuri sana na ndo hao anawatumia kutupia mabomu ndani ya rwanda na yeye kusingizia jeshi la Congo ndo wamefanya hivyo.
fdlr unajua kabla hawajafika huko msituni walikua wapi? Ukijua hili utajua kwann hao wanatajwa sana na wakitajwa kigali wanapanic?Hapo tatizo kubwa ni uwepo wa Fdlr, hivi ni kweli Serikali ya Drc inashindwa kumaliza tatizo la Fdlr au Adf ?...maana Kila siku wanatajwa hao hao ina maana makundi mengine sio tishio ?
mtu chake zitto junior Count Capone
Tangu 1994 mpk leo Ni mafanikio gani makubwa FDLR wameshayapata kwny harakati zao za kutaka kumdondosha yule mtu mrefu mwembamba?fdlr unajua kabla hawajafika huko msituni walikua wapi? Ukijua hili utajua kwann hao wanatajwa sana na wakitajwa kigali wanapanic?
Aiseee? Shoga na bunduki wapi na wapi? Humjui kwani humu? Stori zake ni za kiwango cha Juma lokole.Umewahi kushika Bunduki?
swali zuri sana,mafanikio sidhani km wameyapata zaidi ya wbo kubaki huko huko msituni. Kikwazo kikubwa hawepwi nafasi hata ya kupumua,kigali macho yote kule kuhakikisha hawapati support yoyote iwe ya kimsitu au sioTangu 1994 mpk leo Ni mafanikio gani makubwa FDLR wameshayapata kwny harakati zao za kutaka kumdondosha yule mtu mrefu mwembamba?
kijana usijidandanye na hy id yako feki,respect kazi na majukumu ya watu.Kwanza JWTZ huko Congo inatafuta nn? Km kulinda Aman mbna hapa kwetu Panya Road wanasumbua? Ngoro Ngoro je? Km sio unafiki na ufukunyuku n nn? Umbea na ukuda wa kiwango cha juu, tena hao M23 naona bado hawafanyi ipasavyo, wanatakiwa kuwasha motoo had wapoteane.
Nasemaje M23 piga hao JWTZ kipigo cha mbwa mwizi had wapate akili ya kurudi kwao, msieeeew unafiki tyuuh.
awe serious ktk maongezi ya wanaumeAiseee? Shoga na bunduki wapi na wapi? Humjui kwani humu? Stori zake ni za kiwango cha Juma lokole.
Hawana lolote labda kama hujaijua tanzaniaSio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Sawa mkuu.swali zuri sana,mafanikio sidhani km wameyapata zaidi ya wbo kubaki huko huko msituni. Kikwazo kikubwa hawepwi nafasi hata ya kupumua,kigali macho yote kule kuhakikisha hawapati support yoyote iwe ya kimsitu au sio