DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

Nchi zote zilizoko kwny misheni ya kupambana Huko Somalia,CAR,Congo,Sudan etc ziko pale kwa ajili ya utamu wa pesa za UN.Huoni wanajeshi wakitoka Huko wanajenga majumba,wananunua magri ya kifahari etc

Jiulize kwanini UN haipeleki majeshi huko Afghanistan,Iraq,Libya kwny mziki mnene[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
hoja
 
Duh kaka unaishi shimoni? yaani Dula mbabe akampige Tyson! Rwanda ni kama Singida ipigane na Tanzania nzima!
Hujui nguvu za kijeshi za JWTZ

JWTZ sio jeshi la kitoto bado hawajaamua tu. Ukitaka kujua ubabe wa JWTZ Kagame atume waasi wake wapige mpakani na Tanzania halafu jamaa wakija waasi wakimbilie Rwanda!!

Uganda wanajua joto la JWTZ!
Kwa Uganda tusijisifu Sana, tulipata msaada ndo maana ikawa rahisi kuwapiga.
 
Kwanza JWTZ huko Congo inatafuta nn? Km kulinda Aman mbna hapa kwetu Panya Road wanasumbua? Ngoro Ngoro je? Km sio unafiki na ufukunyuku n nn? Umbea na ukuda wa kiwango cha juu, tena hao M23 naona bado hawafanyi ipasavyo, wanatakiwa kuwasha motoo had wapoteane.

Nasemaje M23 piga hao JWTZ kipigo cha mbwa mwizi had wapate akili ya kurudi kwao, msieeeew unafiki tyuuh.
Umewahi kushika Bunduki?
 
Wakikusikia watatamani wakuue, unataka uwaharibie hao askari michongo ya kupata pesa. Huko ndo wanapopata mishaara minono na kupata chansi ya kwenda huko hadi wanaonga na si kwamba kuna kazi kubwa kule ni mwendo wa bata tu.
 
Ndio tatizo letu watanzania, kuendekeza ushabiki wa simba yanga, Chadema na CCM hata kwenye ishu nyeti. Ukubwa wa nchi hauna impact kwenye ubora wa kivita. Israel ni taifa dogo sana, angalia anavyosumbua mataifa makubwa ya kiarabu duniani. Angalia Israel inaingia mara ngapi kwa Iran, angalia population yao na iran.

Vita sio ukubwa wa nchi, vita ni mbinu za kimedani, ubora wa silaha, ari ya wanajeshi na intelejensia imara. Ikiwa jeshi lako, lipo wazi kila mtu anajua una nini, mpo wangapi na wapi, basi kukupiga ni jambo la kawaida tu.

Nasisitiza, sio rahisi kuwapiga Rwanda kwa kukurupuka mnaweza kuunguzwa na moto msioujua umetoka wapi.
Aisee!
 
Nimeishia hapo ulipoitaja Israel..Yaani unaifananisha Rwanda ambayo kila mtu anaijua ni maskini na Israel!!?
 
Ukitaka kujuwa ujinga wa wanywaranda....nenda border ya tz rwanda...bwelanyange border(kagera)

Kuna madudu mengi rwanda wanafanya watanzania wakivuka
Ila wao wakivuka kwetu ni tofauti
Ngoja tuishie hapa

Hili border watu wengi naona hawalijuwi....
Pascal Mayalla

Ova
iko maeneo gani
 
Wakikusikia watatamani wakuue, unataka uwaharibie hao askari michongo ya kupata pesa. Huko ndo wanapopata mishaara minono na kupata chansi ya kwenda huko hadi wanaonga na si kwamba kuna kazi kubwa kule ni mwendo wa bata tu.
Sasa ndo wakubali M23 wawapasue makalio, msieeeew hatutaki kelele zao, si wanapenda sana dezzo acha waoneshwe kazi, dadeki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni kichapo tyuuuh.
 
Back
Top Bottom