Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Mazingira ya Congo nayo yanasababisha kuwa vigumu kuvimaliza hivo vikundi.Hapo tatizo kubwa ni uwepo wa Fdlr, hivi ni kweli Serikali ya Drc inashindwa kumaliza tatizo la Fdlr au Adf ?...maana Kila siku wanatajwa hao hao ina maana makundi mengine sio tishio ?
mtu chake zitto junior Count Capone
Kuna Mwaka serikali ya Rwanda ilipeleka madai international community kuhusu FDLR na walidai kuwa Ni wahusika wa mauaji na ugaidi ila international community aliyapuuza.
MUNISCO walifanya uchunguzi kuhusu FDLR ikaonyesha kuwa Ni wengi wao Ni vijana waliokulia hukohuko Congo na wengine walitoka rwanda wakiwa ni wadogo sana.
Sasa mkuu ishu hapa Ni kwamba FDLR kukimaliza Ni ngumu coz wakimbizi still wapo kule drc wakihutu so hiki kikundi kitaendelea kuwepo tuu watabadilisha wanamgambo na viongozi, Sasa mfano ikifika 2050 utasema kwamba FDLR Ni wamehusika na maugaji ya kimbala Rwanda coz itakuwa ishapita miaka almost 56 years.
So suruhisho kuwa Ni kwamba wahutu walioko Congo wote wangerudi rwanda. Hivo vinaisha venyewe tuu BAADA ya mda.
Hata juvenile alikataa kuwarudisha wakimbizi was kitutsi kea madai ardhi aitoshi ila matokeo yake ndo Yale uliyoyaona.
Pia vinkundi vya kihutu Congo vipo vingi tuu mbali na FDLR Kuna FLN na vingine.
mtu chake zitto junior Count Capone
