Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mawazo ya mfu.Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Toka kwa Kagame?Wananunua
Hakuna chochote...Wale wanapigwa na Tanzania kwa siku 3 tu, Kwanza hana support ya Wananchi walio weeengi ambao ni 80% Wahutu, only 20% tutsi.,Pili Kagame anatawala kwa Mkono wa Chuma, Mema ya nchi yanaliwa na Jeshi na elite wa kitutsi,Raia Maskini weeengi wanaogopa kusema,na hakuna Uhuru wa Kisiasa, Leo hii ikitokea KAGAME AMEKUWA mwendazake, Tusiombee Mabaya, Ila Tutarajie Kimbari mpya ya aina yake, Wakimbizi kama kawa wataleta upya Ajira Tz.Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Naona hii inamtosha japo hawezi kuelewa.Duh kaka unaishi shimoni? yaani Dula mbabe akampige Tyson! Rwanda ni kama Singida ipigane na Tanzania nzima!
Hujui nguvu za kijeshi za JWTZ
JWTZ sio jeshi la kitoto hawajaamua tu.
Kila kitu tunasingizia wazungu. Tuwe straight, ni Rwanda ya KagameHizo ni stori chief. Huyu jamaa wazungu wanamtumia ili aifanye congo isitulie wazid kuiba. Huyu jamaa anatakiwa apate funzo rasmi
Acha perceptions wala Rwanda sio chochote. Kanapigika tu mbona.....leteni masilaha tutangulie Kigali mtatukuta huko.Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Duh!..lazima wana mfadhili nyuma yao.Mkuu m23 kwa sasa wanamiliki mpaka vifaru
Rwanda hawana uwezo huo unataka kudanganya hapa tunawajua sana. Ila kwa propaganda wako vizuri ila chamot mtaonaSio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
hakuna kikundi kisicho na ufadhili au wafadhili.iwe wa wazi au wakificho,tatizo m23 wanataka kuangusha serikali? Kigali hapana, kinshansa ? hahahaha,hy ni ndoto na wala si lengo lao.
Israel siyo Rwanda, Nchi maskini tu na hata Congo hawawezi kusimama nayo!Ndio tatizo letu watanzania, kuendekeza ushabiki wa simba yanga, Chadema na CCM hata kwenye ishu nyeti. Ukubwa wa nchi hauna impact kwenye ubora wa kivita. Israel ni taifa dogo sana, angalia anavyosumbua mataifa makubwa ya kiarabu duniani. Angalia Israel inaingia mara ngapi kwa Iran, angalia population yao na iran.
Vita sio ukubwa wa nchi, vita ni mbinu za kimedani, ubora wa silaha, ari ya wanajeshi na intelejensia imara. Ikiwa jeshi lako, lipo wazi kila mtu anajua una nini, mpo wangapi na wapi, basi kukupiga ni jambo la kawaida tu.
Nasisitiza, sio rahisi kuwapiga Rwanda kwa kukurupuka mnaweza kuunguzwa na moto msioujua umetoka wapi.
Kagame na M7 hata kuongo za nchi zao tu ni kwa nguvu ya Mabeberu tu. Hawana uwezo wowote wa kuwa marais ktk nchi hizo.Kagame hana tofauti na Putin ni mashetani kabisa
Nikutumia akili kubwa tuu unamponda nyoka kichwa mwili utabaki unajinyonganyonga tuu, na hapo hamna hata mshale utarushwa na wanakijiji watafurahia nyoka kupondwa kwenye kijiji chao, wataanza mwanzo mpya.Tuwe makini nchi yetu isijikute inaingia vita na tusiowajua sisi huku tukifikiri ni Rwanda! Russia ilipoivamia Ukraine haikujua kama itapambana na US na nchi za EU mpaka leo.
Natamani nchi yetu iendelee kuwa ya Amani,kama vipi wanajeshi wetu wajitoe katika kikosi cha kulinda amani huko Kongo warudi nyumbani.
Vita vimekuwa modernised siku hizi vifaru ni mzigo tuu siku hizi ni artillery, missiles na well trained infantry with help of drones.Mkuu m23 kwa sasa wanamiliki mpaka vifaru
Hayupo overrated jamaa aliwa face head-on Angola na Zimbabwe huko Katanga muda huo huo akipigana na Uganda huko Kisangani. Sio rahisi kwa nchi iliyokua umetoka vitani mwaka 1 nyuma kupambana na majeshi ya nchi karibu 7. Sasa miaka 20 baadae unadhani nguvu yake imekua mara ngapi?? As much tutampiga ila damage inaweza kuwa mara mbili haswaa kama M7 ataingia upande wake.Naona Kagame anakuwa Overrated kimasihara kabisa. Utashangaa hata Viongozi wakuu wa Nchi nao wanamgwaya Kagame, eti ana Inteligensia kali
Tatizo la DRC sio Kagame ni ukabila tu, hao Banyamulenge/Hema walishaanza vita za kujitenga tokea enzi za Mobutu.Nikutumia akili kubwa tuu unamponda nyoka kichwa mwili utabaki unajinyonganyonga tuu, na hapo hamna hata mshale utarushwa na wanakijiji watafurahia nyoka kupondwa kwenye kijiji chao, wataanza mwanzo mpya.
Kwani bila vita enzi za Mobutu Congo ilikua haiibiwi? Kipindi Cha Kabila walikua hawaibiwi licha ya vita kukwama? In fact Zimbabwe na Angola zimeiba almasi nyingi kuliko hao wazungu au Kagame whilst walikua upande wa Kabila Senior kupambana na Kagame.Hizo ni stori chief. Huyu jamaa wazungu wanamtumia ili aifanye congo isitulie wazid kuiba. Huyu jamaa anatakiwa apate funzo rasmi
Usidanganywe mkuu na hizo vita za huko mambele huku kwetu watu wanaweza kuwa na mapanga plus viAK47 viwili vitatu wakahamisha vijiji mfano mzuri ni kule MsumbijiVita vimekuwa modernised siku hizi vifaru ni mzigo tuu siku hizi ni artillery, missiles na well trained infantry with help of drones.