Hainingii akilini kabisa.Hizo ni stori chief. Huyu jamaa wazungu wanamtumia ili aifanye congo isitulie wazid kuiba. Huyu jamaa anatakiwa apate funzo rasmi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hainingii akilini kabisa.Hizo ni stori chief. Huyu jamaa wazungu wanamtumia ili aifanye congo isitulie wazid kuiba. Huyu jamaa anatakiwa apate funzo rasmi
Njaa tu ndio zinawapeleka hukoTunalinda amani. Hatuwezi kukaa tu hapa alafu mtaa wa pili kuna wahuni wanaua na kubaka waafrika wenzetu kwa maslahi ya mabwana zao wa huko ulaya, hatuwezi kamwe!
Waamue Sasa tuoneDuh kaka unaishi shimoni? yaani Dula mbabe akampige Tyson! Rwanda ni kama Singida ipigane na Tanzania nzima!
Hujui nguvu za kijeshi za JWTZ
JWTZ sio jeshi la kitoto hawajaamua tu.
mwambie Kagame atume waasi watupige mpakani halafu wafukuzwe na wakimbilie RwandaWaamue Sasa tuone
Sisi hatuna itelijennsia yoyote nje ya mipaka ya nchi yetu? Usijidanganye kiasi hicho.Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Hili swali ni la kizushi. Sikutegemea kuona swali hili kutoka kwako. Hivi unafikiri hali ikiwa mbaya sana huko DRC , hata hizo siasa zenu na demokrasia mnayoipiginaia nyie CHADEMA mtaifanya kwa amani kweli?Hivi Tanzania inatafuta nini Congo?
Kwani nchi zingine hiyo miaka 20 zilikua zimekaa tu hawajiimalishi? Nashangazwa sana na sifa za kusifia nchi flani kwamba wako vizuri sana wakati hata uchumi wao mdogo sana.Hayupo overrated jamaa aliwa face head-on Angola na Zimbabwe huko Katanga muda huo huo akipigana na Uganda huko Kisangani. Sio rahisi kwa nchi iliyokua umetoka vitani mwaka 1 nyuma kupambana na majeshi ya nchi karibu 7. Sasa miaka 20 baadae unadhani nguvu yake imekua mara ngapi?? As much tutampiga ila damage inaweza kuwa mara mbili haswaa kama M7 ataingia upande wake.
Najua wa Rwanda tu hahahaha! hao ndiyo wababe Arfrica nzima na wana uzoefu sanaaaaaa! Wnayrwanda bana safi sanaHahah Kweli kabisa mkuu,hebu tupe uzoefu wa kimedani wa wanajeshi wa Congo mkuu.
Track gani? yakupigana na nchi iliyo na jeshi hafifu? Hivi huyo jamaa bado yuko active kweli hazeekagi?Vita ni experience na strategy hivi kuna Jenerali bongo ana track record ya James Kabarebe? Kenya Wana vifaa ila hawana strategy otherwise wasingekuwa weak hivyo.
Hakika na sasa wanamiliki Tsar nuclear bomb mpk Marekani anamuogopa huku Russia ikimuomba msamaha kila siku na anaweza akapigana na dunia nzima kwa mpigo kwa kutumia drones tu 😄😄😄😄😄.Nasema uongo ndg zanguuuuhhhNajua wa Rwanda tu hahahaha! hao ndiyo wababe Arfrica nzima na wana uzoefu sanaaaaaa! Wnayrwanda bana safi sana
Acha fallacious arguments wewe. Yaani Jeshi la Rwanda lilitishe Jeshi la Tanzania? Au wewe ni Mnyarwanda na umepanic?Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Mkuu itafaa zaidi kama utasema pia haikua ni ‘full out war’ Rwanda alikua na jeshi lake la askari kama elfu ishirini na vikundi alivyoviunga mkono, Angola walikua na kiwango kidogo sana cha askari na papo hapo walikuwa wakipigana na kikundi kingine cha waasi ukiacha vile vinavyoungwa mkono na Rwanda, Uganda kama Rwanda, Zimbabwe pia askari walikua wachache sana hasa focus yao ikiwa ni kulinda mji mkuu na kumlinda kabila...Hayupo overrated jamaa aliwa face head-on Angola na Zimbabwe huko Katanga muda huo huo akipigana na Uganda huko Kisangani. Sio rahisi kwa nchi iliyokua umetoka vitani mwaka 1 nyuma kupambana na majeshi ya nchi karibu 7. Sasa miaka 20 baadae unadhani nguvu yake imekua mara ngapi?? As much tutampiga ila damage inaweza kuwa mara mbili haswaa kama M7 ataingia upande wake.
Kwa Jeshi lipi walilonalo DRC? In fact M23 Ina malipo na silaha nzuri kuliko Jeshi la kitaifa!! So hao Wanajeshi wa DRC hawana morale ya kupigana wakikutana na waasi wapo tayari wakimbie kuliko kuuawa bila faida yoyote.
So hapo kilichopo either watimuliwe waende Rwanda/Burundi/Uganda kama enzi za Kabila Senior, ama wapewe Jimbo moja wajazwe wote humo then iwe nchi huru ama iende Rwanda n.k hapo ndio vita itaisha ila otherwise hiyo vita ni ya tokea miaka ya 90 na itaendelea mpaka siku ijitengeh
Hii suluhu huenda ikaleta amani kongo, naiunga mkono🤝Tatizo la DRC sio Kagame ni ukabila tu, hao Banyamulenge/Hema walishaanza vita za kujitenga tokea enzi za Mobutu.
So hata Kagame akitandikwa best believe Museveni ataliendeleza. Suluhisho labda wamege kipande Cha kivu na Bunia kiende Rwanda ama wawatimue Jamii zote za Kinyarwanda huko DRC otherwise M23 ni muendelezo tu wa RCD-Goma na vikundi vingine vya Rwanda huko DRC.
Hiyo ndio maana ya proxy wars hata vita ya Armenia Vs Arzebeijan walioshangilia ni Uturuki ilihali hawakuwa Frontline!! ama vita ya Syria inayosifiwa ni Urusi kwamba imemshinda US licha ya kwamba hakuna Wanajeshi wa marekani huko Syria physically.Mkuu itafaa zaidi kama utasema pia haikua ni ‘full out war’ Rwanda alikua na jeshi lake la kama elfu ishirini na vikundi alivyoviunga mkono, Angola walikua na kiwango kidogo sana cha askari na papo hapo walikuwa wakipigana na kikundi kingine cha waasi ukiacha vile vinavyoungwa mkono na Rwanda, Uganda kama Rwanda, Zimbabwe pia askari walikua wachache sana hasa focus yao ikiwa ni kulinda mji mkuu na kumlinda kabila...
Kiufupi it was a very complex issue... ila kuipa credit Rwanda ati ali-face nchi tatu tofauti ni kuipendelea. Kiuhalisia Rwanda wanafanya vizuri kiintelijensia lakini ni karibia haiwezekani kwao kupigana vita on 3 fronts. Honestly speaking.
Hakupigana na DRC per se bali Angola, Namibia, Zimbabwe na zingine 5 zilizomwaga silaha na ndege kumlinda Kabila.Track gani? yakupigana na nchi iliyo na jeshi hafifu? Hivi huyo jamaa bado yuko active kweli hazeekagi?
hahahaha. Jibu zuri au anajua wanaenda kutembelea mbuga ya virunga kule?Fedha ndugu yangu serikali inalipwa na wanajeshi wanalipwa tena vizuri tu
Mkuu kwenye takwimu huwa tunafanya estimations kupitia previous data. Mfano kama Rwanda alipambana na hizo nchi tajwa ilihali katoka kwenye civil war na umaskini mzito Ndio tuna estimate miaka 20 baadae atakua na nguvu mara dufu ya pale irrespective ya hizo nchi zingine zilivyojipanga.Kwani nchi zingine hiyo miaka 20 zilikua zimekaa tu hawajiimalishi? Nashangazwa sana na sifa za kusifia nchi flani kwamba wako vizuri sana wakati hata uchumi wao mdogo sana.
hii ni 'kitona oparation'Hiyo ndio maana ya proxy wars hata vita ya Armenia Vs Arzebeijan walioshangilia ni Uturuki ilihali hawakuwa Frontline!! ama vita ya Syria inayosifiwa ni Urusi kwamba imemshinda US licha ya kwamba hakuna Wanajeshi wa marekani huko Syria physically.
All out war siku hizi ni chache sana nyingi ni proxy lakini mwisho wa siku ndio zinaamua Mshindi hata kama umepeleka askari buku pekee.
Hata Tanzania huwa tunajisifia Kuzima mapinduzi Burundi, Seychelles, Comoros n.k ila je zilikua all out war? But we're still proud sababu technically tulishinda vita whether kwa askari 10 au 100.
2. Yes objective ni kumlinda lakini ukisema ni mji mkuu pekee hapana. Majeshi ya wageni yalikuwepo kuanzia Pweto na Kasai huko kusini mpaka Province Equator kaskazini hadi Bas Congo province huko magharibi na huko kote kulikua na engagement dhidi ya Kagame.
3. Kusema Angola ilikua na vita na waasi wa UNITA sio kisingizio hata Rwanda ilikua inapambana na FDLR, Burundi nayo kulikua na waasi, M7 naye alikua na waasi huko kaskazini na kasese n.k in fact Rwanda walitwangana na Uganda wakiwa katikati ya vita na Kinshasa!! Ila nguvu haikupungua na zaidi Uganda alipigwa in both battles.
Kusema haya kwa udogo wao ule bila kuwa na air cover walionyesha ujasiri wa hali ya juu, so hawako overrated ila they earned their status.
Rwanda walijaribu kumpindua Nkurunzinza wakati yupo kwenye ziara hapa Tanzania, kilitumwa kikosi kazi imara, uliza kitu tuliwafanya ndani ya wiki moja tuSio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Acha uoga dogoTuwe makini nchi yetu isijikute inaingia vita na tusiowajua sisi huku tukifikiri ni Rwanda! Russia ilipoivamia Ukraine haikujua kama itapambana na US na nchi za EU mpaka leo.
Natamani nchi yetu iendelee kuwa ya Amani,kama vipi wanajeshi wetu wajitoe katika kikosi cha kulinda amani huko Kongo warudi nyumbani.