Dream League Soccer Special Thread

Nakubali Legend wa hili gemu ,nakusauri ili kulinda heshima yako kwenye DLS epukua match na mimi.
 
Hizo taarifa zako unazitolea kwenye Vyanzo gani wkt ulitakiwa kupost humu tujione hayo maajab sio unacheza na watu ambao sio wa huu Uzi araf unatamba kifupi

Anza na Wakipekee ukitoka hapo nenda Kwa
Fene ukimaliza mcheck adriz km mpk hapo utakuwa ujafungwa bhs muone Eng ibird hapo utaleta mrejesho mwenyew wkt Mi nakusubiri
 
Mi nakaribia kuimaliza europe nimesambaza sana mzigo na hii chuma
 
Hapo umenifunga leo ila nimeweka hii rekodi mpya hiki ndicho kipindi kikubwa zaidi cha kapa(kwa sifuri) na hii ulikuwa unatamba sana kuwa sijawahi kufikisha goli 5 goal difference sasa leo kikowapi Fene ? Kama ngoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo umenifunga leo ila nimeweka hii rekodi mpya hiki ndicho kipindi kikubwa zaidi cha kapa(kwa sifuri) na hii ulikuwa unatamba sana kuwa sijawahi kufikisha goli 5 goal difference sasa leo kikowapi Fene ? Kama ngoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aibu kubwa sana hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†
 
Hapo umenifunga leo ila nimeweka hii rekodi mpya hiki ndicho kipindi kikubwa zaidi cha kapa(kwa sifuri) na hii ulikuwa unatamba sana kuwa sijawahi kufikisha goli 5 goal difference sasa leo kikowapi Fene ? Kama ngoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumecheza game 5, umeshinda moja tena ya kwanza tu zilizobaki nimekuvunja kama ngoma

Unathubutuje kuja kuongea utumbo huu?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…