Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Kuna jamaa alikuwa anajitamba,
Hana hamu sasa, na haoneshi dalili ya kutaka mechi, nimemkanda mara 2,
Haweki mpira chini ye anapga long ball,

Kila akichomoa namuweka [emoji1787],

Kuna mwingine ana magame ya mpira mengi kwa simu yake, anajiona mwamba,

Nimemkanda haamini, kwa sasa namuona yuko bize kujifua,
Nakubali Legend wa hili gemu ,nakusauri ili kulinda heshima yako kwenye DLS epukua match na mimi.
 
Kuna jamaa alikuwa anajitamba,
Hana hamu sasa, na haoneshi dalili ya kutaka mechi, nimemkanda mara 2,
Haweki mpira chini ye anapga long ball,

Kila akichomoa namuweka [emoji1787],

Kuna mwingine ana magame ya mpira mengi kwa simu yake, anajiona mwamba,

Nimemkanda haamini, kwa sasa namuona yuko bize kujifua,
Hizo taarifa zako unazitolea kwenye Vyanzo gani wkt ulitakiwa kupost humu tujione hayo maajab sio unacheza na watu ambao sio wa huu Uzi araf unatamba kifupi

Anza na Wakipekee ukitoka hapo nenda Kwa
Fene ukimaliza mcheck adriz km mpk hapo utakuwa ujafungwa bhs muone Eng ibird hapo utaleta mrejesho mwenyew wkt Mi nakusubiri
 
Mi nakaribia kuimaliza europe nimesambaza sana mzigo na hii chuma
Screenshot_20230822_231832_Truckers of Europe 3.jpg
 
Hapo umenifunga leo ila nimeweka hii rekodi mpya hiki ndicho kipindi kikubwa zaidi cha kapa(kwa sifuri) na hii ulikuwa unatamba sana kuwa sijawahi kufikisha goli 5 goal difference sasa leo kikowapi Fene ? Kama ngoma 😂😂😂
 
Aibu kubwa sana hii 😂😂😆😆
Screenshot_20230822-233914.png
 
Hapo umenifunga leo ila nimeweka hii rekodi mpya hiki ndicho kipindi kikubwa zaidi cha kapa(kwa sifuri) na hii ulikuwa unatamba sana kuwa sijawahi kufikisha goli 5 goal difference sasa leo kikowapi Fene ? Kama ngoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumecheza game 5, umeshinda moja tena ya kwanza tu zilizobaki nimekuvunja kama ngoma

Unathubutuje kuja kuongea utumbo huu?
Screenshot_20230823-000539_1.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom