adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Nakubali Legend wa hili gemu ,nakusauri ili kulinda heshima yako kwenye DLS epukua match na mimi.Kuna jamaa alikuwa anajitamba,
Hana hamu sasa, na haoneshi dalili ya kutaka mechi, nimemkanda mara 2,
Haweki mpira chini ye anapga long ball,
Kila akichomoa namuweka [emoji1787],
Kuna mwingine ana magame ya mpira mengi kwa simu yake, anajiona mwamba,
Nimemkanda haamini, kwa sasa namuona yuko bize kujifua,