Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Muwe mnaacha uongo, shambulizi la urusi halikuidondosha hiyo drone. US wenyewe waliweza kuishua drine yao na ipo salama. Hivyo kama unacha kuongelea basi ungelea kitendo ch hiyo Su-28 kushindwa kuitawanya hiyo drone
 
Kwani wao walikwambia wanataka kuitawanya au ndio chaka linatafutwa [emoji14][emoji14][emoji14]
Mzigo umeshushwa kama ulivyo na hii ni kuonesha uanaume hasa sio miguvu kibao mmetumia kisa kiputo mmeoneshwa namna ya kutungua kitu ili mkifanyie upelelezi
 
Kwani walipokua wakiishambulia walilenga nini?
Kwa hiyo mleta mada asiseme wameiangusha sababu hoyo drone imeshuka salama.
Wao pia hawakulenga kuishusha ndiyo maana walianza kuishambulia.
 
Kwani walipokua wakiishambulia walilenga nini?
Kwa hiyo mleta mada asiseme wameiangusha sababu hoyo drone imeshuka salama.
Wao pia hawakulenga kuishusha ndiyo maana walianza kuishambulia.
Wapi wameanza kuishambulia [emoji28][emoji28]
Wameimwagia mafuta wamevunja propela mzigo umeshuka au umelala mwenzetu hujui kinacho endelea

Imeangushwa na urusi na lengo lilikua ishuke salama na ndio maana wametumia mafuta kama alama itakapo angukia

Hapa hamuna pakujitetea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kusimulia unachokitamani kiwe, lakini wenye drine yao walifanikiwa kuishusha salama.
Kwa akili uvunje propellor ya drone na bado wafanikiwe kuishusha salama maana yake si wamekuzidi uwezo hao.
Mtaendelea kupata faraja kwenye uzushi wenu.
Wamepoteza lengo kama walivyoshindwa kuikamata Kyiev ndani ya siku tatu.
 
Ha ha haa!
",Russia kakaa pale anawachora TU"
 
Kwanini waliishusha?

Alafu wakati inaanguka ilifikia wapi?

Mnapenda sana kujipotosha hata nyinyi wenyewe kweli hatari

Alafu unakurupuka unasema wameichukua lini?

Mzigo ndio basi ishakula kwenu

URUSI SIO ZIMBABWE
 
Waambie NATO wache kupeleka silaha uone kama huu mwaka utaisha bila Ukraine yote kupepea bendera za Urusi!
Angalau kuna mmoja anakiri uwezo wa Ukraine kwenye kumkabili Urusi na kumdhibiti asitimize lengo lake.
Sasa labda niulize kaswali kadogo tuu, hivi ulitaka Ukraine apigane na Russia bila ya silaha? Upo serious kweli?
 
Kwanini waliishusha?

Alafu wakati inaanguka ilifikia wapi?

Mnapenda sana kujipotosha hata nyinyi wenyewe kweli hatari

Alafu unakurupuka unasema wameichukua lini?

Mzigo ndio basi ishakula kwenu

URUSI SIO ZIMBABWE
Akyamungu tena hata sielewi unachoandika hapa ni upupu gani?
 
Muwe mnaacha uongo, shambulizi la urusi halikuidondosha hiyo drone. US wenyewe waliweza kuishua drine yao na ipo salama. Hivyo kama unacha kuongelea basi ungelea kitendo ch hiyo Su-28 kushindwa kuitawanya hiyo drone
Rubbish
 
Ok then...
 
Propeller ya drone ikiharibika maana yake hakuna thrust!Hapa ni sawa na gari iliyo kwenye motion halafu uiweke neutral!Itaendelea kwenda lakini Kwa muda kabla haijasimama!
So kwenye drone Bada propeller kuharibika,Bado inakuwa na velocity Kwa muda fulani kabla ya kuanguka kama free fall!So wakati Bado ikiwa na velocity,pilot anaweza kuicontrol Kwa kuadjust flaps, na rudder ambayo Iko kwenye vertical stabilizer!
So option ya pilot wa drone ni kuiangusha au aiache iende mpaka ijiangukie Yenyewe!
Walichofanya ni kuishusha na kuibamiza kwenye maji Ili kupata maximum destruction kuliko kuiacha iende ipungue speed na ianguke free fall!
Hilo limefanyika Ili hata Russia akiiretrieve basi iwe debri iliyo vipande vipande!
Ndio maana umesikia west wamesema hata Russia akiipata basi hawatapata informations of valuable intelligence!
 
Ngoja wameza taka taka wa habari kama hizi waamke.

Ndege Urusi IMEGONGA Drone ya US ila habari ilivyoletwa ni kana kwamba kulikuwa na makabilino kati ya ndege Urusi na Drone.

Zombies on the beat
It was intercepted, il kwa jinsi unavyoiongelea ni kama ajari ya Lori kugonga Noah pale morogoro road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…