TRAMP NA ISRAEL wahuni sana wameanzisha Vita wkt huu wa Mwezi wa 6 ambao pale Iran kuna tukio kubwa linaanza kesho yani 26/6 !!!
Shughuli ya Kidini yani Muharam Wairan wanakuwa biz sana pia upokea wageni wengi sana kutoka kono mballmbali za Dunia !!!
nimefanya tafiti yangu ndogo kwann Iran imekubali kusitisha Vita mapema ndio majibu ndio aya !!
Nimegundua ilo ni kipindi kikubwa kwa Iran na upata Mavuno makubwa..
Marekani na Israe walipanga kimipango tunachoona leo ndio lengo lao !!
wakiona mipango yao imeshindwa basi Waivute haraka kiraisi Iran kusitisha Vita
yani mipango yao ilikuwa wafanye tasmini kabla muharam aijaanza !!!
majibu yakawa Vita isimame. Awatoboi kwa Iran uwezo wake wa Makombora ni hatari na ngumu kuuzuiya
pengine Israel ingechakaa kabisa ndio waje wazuie zinapotokea.. so muharam ndio imeiyokoo Israel.