Labda kama utapatikana mbadala wa Onyango, ile game ya marudiano kati ya Simba Sc na Raja WC niliona mabadiliko chanya ya kiuchezaji kasoro pale kwa Onyango.Hao tukiwafunga goli 2 bila, tukifika kwao tukaze tufungwe hata goli 1 tu, hapo tutakuwa tumetoboa
Sure Mkuu!Tunajua namna ya upiganaji tunapokutana na timu kubwa.
Tunapiga huku tunajificha
Hawa sisi tunawaona wa kawaida ila sasa nyie ndugu zetu mmezoea gemu za kushirkishwa/kualikwa mna panic brothrHaya zile za Horoya zinaweza zikawarudia.
Ila kwa Waarabu wenye mbio, hapo kwa Onyango wanapata Penalty mapema tu.Onyango akiamka poa anakuwaga na kasheshe unaweza sema Ramos
Aliyenafasi ya 4 kwenye ligi amejikandia ndani nje!Sasa huyu Wydad siatawadharirisha kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba vs Wydad
Rivers United vs Yanga
Hakikisha siku hiyo nyumbani umeacha hela ya kula, usije ukailaza familia na njaa kwa ujinga wakokama kwa Raja nyasi hazikuumia? iweje kwa Wydad...
This is the easiest Game home and Away to Arabs.
natafuta elfu 50 naweka ushindi kwa Waarabu, H & A
Huo mchezo hautakuwa na mbio nyingi kwasababu muda wote tutakuwa kwenye eneo letuIla kwa Waarabu wenye mbio, hapo kwa Onyango wanapata Penalty mapema tu.
Hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.
Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati ya timu hizo tatu ndio ambayo sio ya kiarabu.
Wengi wanatamani kuona mechi ya Simba vs Mamelod ila kwa mimi naombea Simba ipangiwe Wydad Casablanca kwenye mechi ya robo fainali.
Coach wa Esperance anajua mpira kuliko wewe mvimbiwa mihogoWewe kweli umefilisika akili, asa timu imeshinda goli 7-0 halafu mechi inayofuata anafungwa goli 3-1 ni kipi kitakachostua hapo?
Hizi ambazo mpaka mkabeba kuni kwenda kuota moto katikati ya uwanja,mkapigwa faini dola elfu 10 na CAF leo unaziita za kushirikishwa/kualikwa.Hawa sisi tunawaona wa kawaida ila sasa nyie ndugu zetu mmezoea gemu za kushirkishwa/kualikwa mna panic brothr
Onyango hana mbadala kwa sasa, tuombe tu awe na siku njema kazini kwenye mechi zote mbili.Labda kama utapatikana mbadala wa Onyango, ile game ya marudiano kati ya Simba Sc na Raja WC niliona mabadiliko chanya ya kiuchezaji kasoro pale kwa Onyango.
Na sikuzote Simba Sc huwa anazingua sana kwenye backline, kiungo na forward sina mashaka.
Haaaah, Huyu daudi wa akina onyango huyu ndiye amtishie nyau goliath wydad?Daudi alimshinda Goriathi