Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Labda kama utapatikana mbadala wa Onyango, ile game ya marudiano kati ya Simba Sc na Raja WC niliona mabadiliko chanya ya kiuchezaji kasoro pale kwa Onyango.Hao tukiwafunga goli 2 bila, tukifika kwao tukaze tufungwe hata goli 1 tu, hapo tutakuwa tumetoboa
Na sikuzote Simba Sc huwa anazingua sana kwenye backline, kiungo na forward sina mashaka.