Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Simba akitolewa hapa haitakuwa story sana kulingana na opponent wake(Japo nina uhakika 75+%simba kufuzu)....

kimbembe ni akitolewa yanga(Nawapa 85%+ kushinda)...na yenyewe its due to the nature of opponent
 
Haya mambo ya kishirikina umeanza lini?
 
Simba akitolewa hapa haitakuwa story sana kulingana na opponent wake(Japo nina uhakika 75+%simba kufuzu)....

kimbembe ni akitolewa yanga(Nawapa 85%+ kushinda)...na yenyewe its due to the nature of opponent
Probability ya Simba kufuzu ni 7.5/10 au sio?? Aiseee
 
Simba atashinda Dar lakini pia simba atafungwa Morroco. Haya maneno yatunze hapa tutayarudia.Usikariri matokeo. Timu youote inayofika hatua hii huwezi kuibeza na INAWEZEKANA Waydad akatolewa si kwa kuwa hana uwezo ila kwa sababu ya kuona kapata timu dhaifu.
Kama simba alitolewa kwa kudhani galaxy mbovu basi hata Waydad aweza tolewa kwa kigezo hicho hicho.
Mpira hauchezwi mtandaoni.


God is above all that you know.
 
Na waambie hivi saa Saba usiku kuna game ya raja vs wydad waifuatilie vizuri halafu warud na majibu juu ya mech yao kwa mkapa


Wydad n mkubwa kwa raja
Aisee moja moja had now wydad alipigwa goli la penati dakika ya 36 mwanaume kaswazisha dakika ya 45 dogo mmoja mcongoman anaitwa Arsene Zola ndio katupia mpira wanaopiga Wydad ni wamoto sana.... Alafu yupo Away... Bonge moja la derby...
 
Na waambie hivi saa Saba usiku kuna game ya raja vs wydad waifuatilie vizuri halafu warud na majibu juu ya mech yao kwa mkapa


Wydad n mkubwa kwa raja
Aisee moja moja had now wydad alipigwa goli la penati dakika ya 36 mwanaume kaswazisha dakika ya 45 dogo mmoja mcongoman anaitwa Arsene Zola ndio katupia mpira wanaopiga Wydad ni wamoto sana.... Alafu yupo Away... Bonge moja la derby
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui hata nacheka nn yaaaan
Ahahaha hata me nimecheka simba kazi mnayo...
 
Weka link mkuu tuchungulie wote
 
Weka link mkuu tuchungulie wote
Nlinogewa na game samahani mkuu naona wakati match imeisha ujue wydad alipigwa kapambana mwishon kasawazisha, next time ntakuwa sharp, mwanangu waarabu wanautandika mpira si mchezo
 
Lets wait and see..

Inahitajika commitment, jamaa wacheze kwa asilimia 110% wasitegeane uwanjani, kaba shambulia kwa pamoja, mashabiki tukaujaze uwanja, washangilie mwanzo mwisho... the rest kitajulikana mbele ya safari.

Lakini sio kukata tamaa mapema hivi.
 
Simba imefanyiwa umafia sana na CAF safari hii, huo ndio unaweza kuwa mwisho wao kwenye kinyanganyiro hicho. Ilianza na bahati sana kwa kukutanishwa na timu dhaifu kama ile ya Angola ila sasa inakutanishwa na timu kali sana ambayo ni bingwa mtetezi; watatakiwa kufanya kazi kubwa sana kuliko kawaida yao ili waweze kuvuka. Kwa upande wa Yanga itabidi washindwe wenyewe tu kuingia nusu fainali kwani timu waliyopangiwa ni ya kawaida sana; inatakaiwa plani moja tu, ugenini waanze ni timu kali sana ya ulinzi ili wasiruhusu goli, halafu wanaporudi nyumbani wabadilishe mfumo na kuwa na timu kali sana ya ushambuliaji kutafuta magoli hata goli moja tu.
 
Hata wewe ushindi wako dhidi ya Simba ni goli moja alafu yeye ana kupigaga 5,6,4 etc
 
Simba imefanyiwa umafia sana na CAF safari hii, huo ndio unaweza kuwa mwisho wao kwenye kinyanganyiro hicho. Ilianza na bahati sana kwa kukutanishwa na timu dhaifu kama ...
Sasa ulitegemea ipangwe na timu gan?kadri mashindano yanavyosogea ukingoni kunakua na timu ngumu,na ndo maana halisi ya champions league,sasa CAF hapo wana kosa gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…