Kisport zaidi umeongea 👍Hapana mzee kipindi kile walikuwa na kikosi kibovu
Rivers United wamekuja na ticket ya Yanga kumpeleka nusu
Tunamsubiri tumuone huyo mwenye bahati mbayaBaada ya hzo draw za akina mpwayungu sasa twende kwa wanaume champions 🏆 League
Kilimanjaro hapa mkuu. Karibu sanaWapi? Bombom, Kijiwe Samli, Kwa Gude au Kilimanjaro Pub?
Yanga hawezi kuanzia nyumbani dhidi ya Rivers united, kwasababu Yanga kaongoza kundi.Yanga anaanzia nyumbani atamalozia machinjioni Nigeria wazee wa kuroga balaa
Unacheza kombe gani WEWE? Luzas!Waletee hao Pyramids tujipigie nje ndani , Young Africans to the final[emoji573][emoji573][emoji573]
Wazee wa robo wao safari Yao imeisha tayari.
Usiwadhamini sana hao Rivers mzeeRivers Utd tena...kheeeeView attachment 2577775
Wanaongoza moja goli la mapema sanahawa Marumo Gallants nawaangakia ss iv Dstv 229 wako vzr
Yanga anaanzia nyumbani atamalozia machinjioni Nigeria wazee wa kuroga balaa