Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Timu Wydad tupooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya zile za Horoya zinaweza zikawarudia.Hawa ni wakubwa wenzetu. Hawa mpwayungu wydad tutaua
Yeah lazima tuwe ma Hardcore tunahakikisha tunakufa kiumeKazi ipo ila hauwezi kuwa bingwa bila wapiga watu kama hao, tufanye maajabu kwa Mkapa
Haikuwa kosa wewe kuleta zile screenshots mara ya kwanza ndiomaana hata mimi nili-like, sasa ukataka kufanya kamchezo sasa kila post screenshot ya twitter.Unafiki kitu Cha ajabu kweli
Iliwekwa link ya kumpigia kura Chama Jr hapa ya twitter sikuona hii reply yako
Iliwekwa link ya kumpigia kura Mudathir hapa ya twitter hii reply yako sikuiona hapa
Kama wajanja kama wewe mnaweza ingia twitter why zile link na picha ziliwekwa humu!?
Pita hivi
Sahihi tukiacha uyanga na usimba rivers ya moto sanaRivers ni wamoto Yanga tuwe makini
Hapo kukaza bila kufungwa hasa ugenini kwa ukuta wetu wa kina Onyango ndio ugumu unapoanzia..Hao tukiwafunga goli 2 bila, tukifika kwao tukaze tufungwe hata goli 1 tu, hapo tutakuwa tumetoboa
Wakati mnamtafutia kura Chama Hilo hukuliona??Haikuwa kosa wewe kuleta zile screenshots mara ya kwanza ndiomaana hata mimi nili-like, sasa ukataka kufanya kamchezo sasa kila post screenshot ya twitter.
Ilikuwa ni lazima uelezwe.
Tunajua namna ya upiganaji tunapokutana na timu kubwa.Aaaahàaaaa
Msiingize Timu uwanjan
WydadHivi waydad na raja nan mkali zaid
Wewe kweli umefilisika akili, asa timu imeshinda goli 7-0 halafu mechi inayofuata anafungwa goli 3-1 ni kipi kitakachostua hapo?Wydad watakuwa hawana furaha .. ule ushindi wa 7-0 ulitingisha Africa
AaaahaaaTunajua namna ya upiganaji tunapokutana na timu kubwa.
Tunapiga huku tunajificha
Onyango akiamka poa anakuwaga na kasheshe unaweza sema RamosHapo kukaza bila kufungwa hasa ugenini kwa ukuta wetu wa kina Onyango ndio ugumu unapoanzia..
Siku hiyo kinyumenyume ianzie msimbazi mpaka kwa MkapaHaya sasa janjajanja hapo hamna wajukuu wa mtume hao hata mkiota moto katikati ya uwanja lazima mpigwe.