Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Unafiki kitu Cha ajabu kweli

Iliwekwa link ya kumpigia kura Chama Jr hapa ya twitter sikuona hii reply yako

Iliwekwa link ya kumpigia kura Mudathir hapa ya twitter hii reply yako sikuiona hapa

Kama wajanja kama wewe mnaweza ingia twitter why zile link na picha ziliwekwa humu!?

Pita hivi
Haikuwa kosa wewe kuleta zile screenshots mara ya kwanza ndiomaana hata mimi nili-like, sasa ukataka kufanya kamchezo sasa kila post screenshot ya twitter.

Ilikuwa ni lazima uelezwe.
 
Makolo round hii msichome uwanja wetu .kichapo aki kwepeki
688390606.jpg
 
Haikuwa kosa wewe kuleta zile screenshots mara ya kwanza ndiomaana hata mimi nili-like, sasa ukataka kufanya kamchezo sasa kila post screenshot ya twitter.

Ilikuwa ni lazima uelezwe.
Wakati mnamtafutia kura Chama Hilo hukuliona??
 
Back
Top Bottom