pakacha77
Member
- Aug 12, 2022
- 91
- 98
Huyo ni Kaka yake Raja kama hujui na bingwa mtetezi mtakula Chuma za kutosha mpaka mtapike nyongo. [emoji23][emoji23]Hawa wydad wamevamia mtumbwi WA vibwengo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Kaka yake Raja kama hujui na bingwa mtetezi mtakula Chuma za kutosha mpaka mtapike nyongo. [emoji23][emoji23]Hawa wydad wamevamia mtumbwi WA vibwengo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]Raia watasema haiombwi hivyo
Kama wewe ni mtu wa dini basi umenisikitisha sana kwa ufinyu wa maarifa kuhusu mambo ya kirohoHuko form four failures, mpaka uliroga ili angalau uvuke robo kwenda nusu.View attachment 2577857
Hii elimu inawezakana CAF hawana enh? [emoji1]Kama wewe ni mtu wa dini basi umenisikitisha sana kwa ufinyu wa maarifa kuhusu mambo ya kiroho
Moto ni indication ya nuru, ushirikina haupatani na nuru.
Moto ni alama ya ukombozi, moto ni alama ya tumaini jipya na ndio Moses anapousogelea mti unaowaka moto aliambiwa avue viatu kama ishara ya kutii nguvu ya nuru.
Palipo na moto hapawezi kuwa na mchawi, hata ukifatilia stori za wachawi wanakula nyama mbichi kwasababu moto kwao ni sumu.
Kama unanibishia jaribu kumuuliza bibi yeyote wa mtaani kwako
CAF hawaruhusu kuchoma moto uwanjani, that's itHii elimu inawezakana CAF hawana enh? [emoji1]
Nijifananishe na wewe naekubomoa nipendavyo!!?..sisi tunaanza kuchukua shirikisho kwanza Kisha tunakuja kuset standard klabu bingwaUzuri ni kwamba hata hilo unalolisema likitokea haiwezi kuwa noma
Unajua kwasababu gani?
Kwasababu nimefungwa na timu kubwa tena kwenye mashindano makubwa na magumu.
Ishu ipo kwenye levels zenu za form four failures ambao mmegeuka kuwa resetters na kuanza kujifananisha na sisi
Mi nimemchapa Al ahly si Mara moja na kwake kaponea penati,siku ukitoa sare na ahly kwake utapiga kelele sanaAl Ahly nilimchapa
Sasa utapima wewe kwa IQ yako kati ya Al Ahly na Hiyo brand ya Samsung ni ipi timu kubwa
Kama unajua hairuhusiwi kivipi ukafanya tena kwa mafailures?CAF hawaruhusu kuchoma moto uwanjani, that's it
By the way ukiachana na huyo wa Mbeya City kuna mwananchi hapo
View attachment 2577859
Hata ile misimu iliyopita tulikuacha hivi hivi uchezee sharubu za SimbaNijifananishe na wewe naekubomoa nipendavyo!!?..sisi tunaanza kuchukua shirikisho kwanza Kisha tunakuja kuset standard klabu bingwa
Mkifunga yanga goli nyingi jua panakua na mgogoro yanga,yanga pasiwe na mgogoro wewe hutambi,ndiyo Kama Sasa hiviHata ile misimu iliyopita tulikuacha hivi hivi uchezee sharubu za Simba
Kwasababu focus yetu haikuwa ndani.
Ila tulipoona kelele zimekuwa nyingi ndio tukaamua tulipige pigo la kimbari 4-1
Sasa we tambaaa kisha tukiamua sasa tunakuja na pigo mara mbili ya pale
Hata kumchezea rough mchezaji mwenzako pia hairuhusiwiKama unajua hairuhusiwi kivipi ukafanya tena kwa mafailures?
Mgogoro au ni Simba imeamua jambo lake?Mkifunga yanga goli nyingi jua panakua na mgogoro yanga,yanga pasiwe na mgogoro wewe hutambi,ndiyo Kama Sasa hivi
Huku Liboro linazama. Upinde ni tatizo kwakweli,Nitakunya Live MP 1 Lugalo Makongo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mtakuwa mnazuia au sioHuo mchezo hautakuwa na mbio nyingi kwasababu muda wote tutakuwa kwenye eneo letu
Hiyo ndio habari unapenda kuisikia sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mtakuwa mnazuia au sio
Nimecheka saaanaaNdio Basi tena😭😭😭😭😭 famasihara nini😜😜😜😜😜😜
Wydad ni bingwa mtetezi wa cafclHivi waydad na raja nan mkali zaid
Kwa ile style yenu ya kuota moto katikati ya uwanja ,hamja tuinspire kabisa kwani Yanga tunacheza pira Sayansi na si hizo style zenu mnazo zitegemea mara mrudi kinyumenyume mara muote moto.Hakuna shida timu zote kubwa 2nacheza nazo kila msimu! Hakuna jipya tunaende
Itoshe tu kusema tumewa inspire hata nyie kuwepo huku