SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Yanga tutashiriki lakini sio kunyonge kama watz wanavyofikiriWale Yanga waliokuwa wanafurahia kipindi kile kuwa Club Africain ni mbovu kwasababu iliwahi kufungwa goli 8 na TP Mazembe vipi hali yenu saizi ipoje baada ya kuone hao Tp Mazembe mmepangwa naye group moja?
Bado hujazaliwa upya mkuu! Sijui Simba wana mchawi gani toka Mars!Nasikitika kusema kuwa
Simba bye bye
Maneno tu hayoHuyu Vipers anapoint zetu 6
Na huyo foronya atatuachia 3 hapa kwa Mkapa
Raja Casablanca nikimchapa hapa lupaso kule kwao napeleka kikosi B
Unafurahisha genge naonaWatu wanachanganya kati ya raja casablanca na wydad casablanca.
Hao raja tia maji.Hata hivyo simba huwa anapiga hata Ahly
Harafu watu wanakuonaga unajua footballNamzidi ufundi wa kutengeneza wachezaji wazuri
Horonya tulimpa Makambo akiwa mzuri ye akaenda kumuharibu
Saizi hata wana Yanga wakiona kocha anampanga Makambo kwenye mecgi muhimu wote wana sonya
Hayo yote kasababisha Horonya
Umeiona ratiba?
"Harafu"Harafu watu wanakuonaga unajua football
Anachezea mechi zote kwa Mkapa?
Tusubiri vipimoUnazungumzia fluke, ambazo ni kawaida kwenye mchezo.
Kwa mantiki hiyo, unataka kusema Vipers ni mwamba kuliko Mazembe?
Simba haija yumba si ndio?Mazembe imeyumba sana kipindi hiki mzee..wala haina makali ya kutosha na haitishi..Kumbuka maneno yangu ndugu Vipers sio timu ya kuitisha Simba hata kidogo
Watu watashangaa ila nachojua watakuwa wabishi tu kwasababu hawaipendi Simba ila kwenye betting lazima wawe makini
Hiyo rank uliyoweka siyo ya CAF. Kumbe pamoja na kufatilia mpira miaka yote lakini umeshindwa kujua mfumo unaotumiwa na CAF ni upi kwenye michuano ya kimataifa. CAF wanachukua performance ya timu kwa msimu mitano inayofuatana. Mfano kwa msimu huu wa 2022/2023 wamechukua performance ya musimu mutano ambayo ni 2021/2022, 2020/2021, 2019/2020, 2018/2019 na 2017/2018Caf hawawezi kutumia takwimu za miaka mitano nyuma wakati kila mwaka timu zinaongeza points
Na ndio maana nimekuwekea hapo rank ambayo ni recently ya wiki mbili zilizopita
Kama hilo mnalijua kwenye mpira hakunaga ukubwa na udogo, kwanini Vipers mnaidharau wakati nayeye pia anayo nafasi ya kuonesha kile ambacho Simba wamekionesha.Hata wakati Simba anafika robo mara ya kwanza hivi karibuni yeye ndiye aliyekuwa mdogo kuliko wote, ila akampiga aliyekuwa bingwa pamoja na bingwa wa shirikisho akasonga mbele. Tumeshazoea maneno yenu ya kwenye khanga.
Acha kutonesha mshono mkuuHata kwa Juaneng Galaxy?
Siyo ya CAF ni ya kiulimwengu maana yake hata CAF ipo ndani yake na wanahusika moja kwa moja kutoa data zinazohusu Club za AFRICAHiyo rank uliyoweka siyo ya CAF. Kumbe pamoja na kufatilia mpira miaka yote lakini umeshindwa kujua mfumo unaotumiwa na CAF ni upi kwenye michuano ya kimataifa. CAF wanachukua performance ya timu kwa msimu mitano inayofuatana. Mfano kwa msimu huu wa 2022/2023 wamechukua performance ya musimu mutano ambayo ni 2021/2022, 2020/2021, 2019/2020, 2018/2019 na 2017/2018
Ikifika michuano ya msimu ujao (2023/2024) watachukua performance kwanzia msimu wa 2018/2019 hadi 2022/2023 kufanya ranking.
Ingekuwa CAF wanafanya rank kwa kuangalia performance ya msimu mmoja ungeiona kaizer chiefs wakishika nafasi ya pili au top five baada ya kucheza fainali dhidi ya Al Ahly..
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Yanga yupo kombe la loser sio sawa kumlinganisha na simbaMpira ni takwimu mkuu.. Simba aliyeifunga Ahly alikuwa ni top timu ndani ya nchi yake akiwa ni bingwa back to back 3 times paka wakati ule huku akiwa na makombe yote ya ndani kuanzia community shield paka Azam federation Tena back to back...
Takwimu za Simba za kipindi kile zilionesha Simba ile ilikuwa timu Bora sana Kwa wakati huo japo kawaida ya utani tuliwabeza..
Nakushangaa umeshindwa kuliona hilo na unaishi ki mazoea wakati uhalisia unaonekana wazi kabisa.
Msipokubali kukosolewa Yanga atawapiga gemu hata huko kimataifa ambapo rekodi ya robo fainal mnaiona kama kilele Cha mafanikio Kwa timu yenu
Kwani Simba huwa hamfungi Al ahly?Unafurahisha genge naona