Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Horoya vs Simba - 10/11 February. Simba yuko away.

Simba vs Raja Casablanca - 17/18 February. Simba yuko nyumbani.

Vipers vs Simba - 24/25 February. Simba yuko away.
 
Wale Yanga waliokuwa wanafurahia kipindi kile kuwa Club Africain ni mbovu kwasababu iliwahi kufungwa goli 8 na TP Mazembe vipi hali yenu saizi ipoje baada ya kuone hao Tp Mazembe mmepangwa naye group moja?
Yanga tutashiriki lakini sio kunyonge kama watz wanavyofikiri
 
Nasikitika kusema kuwa
Simba bye bye
Bado hujazaliwa upya mkuu! Sijui Simba wana mchawi gani toka Mars!

Katika makundi yote wao Simba ndo wana kundi jepesi kama karatasi japo nakuunga mikono na miguu hawafiki hata kibaha kwa matiasi!
 
Namzidi ufundi wa kutengeneza wachezaji wazuri

Horonya tulimpa Makambo akiwa mzuri ye akaenda kumuharibu

Saizi hata wana Yanga wakiona kocha anampanga Makambo kwenye mecgi muhimu wote wana sonya

Hayo yote kasababisha Horonya
Harafu watu wanakuonaga unajua football
 
Kwa ratiba hii Simba anapita bila wasiwasi Scars Ghazwat OKW BOBAN SUNZU
69280AE5-91B1-4284-BA8A-A2CA42D441EE.jpeg
 
Caf hawawezi kutumia takwimu za miaka mitano nyuma wakati kila mwaka timu zinaongeza points

Na ndio maana nimekuwekea hapo rank ambayo ni recently ya wiki mbili zilizopita
Hiyo rank uliyoweka siyo ya CAF. Kumbe pamoja na kufatilia mpira miaka yote lakini umeshindwa kujua mfumo unaotumiwa na CAF ni upi kwenye michuano ya kimataifa. CAF wanachukua performance ya timu kwa msimu mitano inayofuatana. Mfano kwa msimu huu wa 2022/2023 wamechukua performance ya musimu mutano ambayo ni 2021/2022, 2020/2021, 2019/2020, 2018/2019 na 2017/2018

Ikifika michuano ya msimu ujao (2023/2024) watachukua performance kwanzia msimu wa 2018/2019 hadi 2022/2023 kufanya ranking.
Ingekuwa CAF wanafanya rank kwa kuangalia performance ya msimu mmoja ungeiona kaizer chiefs wakishika nafasi ya pili au top five baada ya kucheza fainali dhidi ya Al Ahly..

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hata wakati Simba anafika robo mara ya kwanza hivi karibuni yeye ndiye aliyekuwa mdogo kuliko wote, ila akampiga aliyekuwa bingwa pamoja na bingwa wa shirikisho akasonga mbele. Tumeshazoea maneno yenu ya kwenye khanga.
Kama hilo mnalijua kwenye mpira hakunaga ukubwa na udogo, kwanini Vipers mnaidharau wakati nayeye pia anayo nafasi ya kuonesha kile ambacho Simba wamekionesha.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hiyo rank uliyoweka siyo ya CAF. Kumbe pamoja na kufatilia mpira miaka yote lakini umeshindwa kujua mfumo unaotumiwa na CAF ni upi kwenye michuano ya kimataifa. CAF wanachukua performance ya timu kwa msimu mitano inayofuatana. Mfano kwa msimu huu wa 2022/2023 wamechukua performance ya musimu mutano ambayo ni 2021/2022, 2020/2021, 2019/2020, 2018/2019 na 2017/2018

Ikifika michuano ya msimu ujao (2023/2024) watachukua performance kwanzia msimu wa 2018/2019 hadi 2022/2023 kufanya ranking.
Ingekuwa CAF wanafanya rank kwa kuangalia performance ya msimu mmoja ungeiona kaizer chiefs wakishika nafasi ya pili au top five baada ya kucheza fainali dhidi ya Al Ahly..

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Siyo ya CAF ni ya kiulimwengu maana yake hata CAF ipo ndani yake na wanahusika moja kwa moja kutoa data zinazohusu Club za AFRICA
 
Mpira ni takwimu mkuu.. Simba aliyeifunga Ahly alikuwa ni top timu ndani ya nchi yake akiwa ni bingwa back to back 3 times paka wakati ule huku akiwa na makombe yote ya ndani kuanzia community shield paka Azam federation Tena back to back...
Takwimu za Simba za kipindi kile zilionesha Simba ile ilikuwa timu Bora sana Kwa wakati huo japo kawaida ya utani tuliwabeza..

Nakushangaa umeshindwa kuliona hilo na unaishi ki mazoea wakati uhalisia unaonekana wazi kabisa.

Msipokubali kukosolewa Yanga atawapiga gemu hata huko kimataifa ambapo rekodi ya robo fainal mnaiona kama kilele Cha mafanikio Kwa timu yenu
Yanga yupo kombe la loser sio sawa kumlinganisha na simba
 
Back
Top Bottom