Hiyo rank uliyoweka siyo ya CAF. Kumbe pamoja na kufatilia mpira miaka yote lakini umeshindwa kujua mfumo unaotumiwa na CAF ni upi kwenye michuano ya kimataifa. CAF wanachukua performance ya timu kwa msimu mitano inayofuatana. Mfano kwa msimu huu wa 2022/2023 wamechukua performance ya musimu mutano ambayo ni 2021/2022, 2020/2021, 2019/2020, 2018/2019 na 2017/2018
Ikifika michuano ya msimu ujao (2023/2024) watachukua performance kwanzia msimu wa 2018/2019 hadi 2022/2023 kufanya ranking.
Ingekuwa CAF wanafanya rank kwa kuangalia performance ya msimu mmoja ungeiona kaizer chiefs wakishika nafasi ya pili au top five baada ya kucheza fainali dhidi ya Al Ahly..
Sent from my Redmi Note 9 Pro using
JamiiForums mobile app