Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Bado hujazaliwa upya mkuu! Sijui Simba wana mchawi gani toka Mars!

Katika makundi yote wao Simba ndo wana kundi jepesi kama karatasi japo nakuunga mikono na miguu hawafiki hata kibaha kwa matiasi!
Kundi jepesi? Visingizio vimeanza mapema?
 
Siyo ya CAF ni ya kiulimwengu maana yake hata CAF ipo ndani yake na wanahusika moja kwa moja kutoa data zinazohusu Club za AFRICA
Ulisema CAF hawawezi kutumia takwimu za miaka mitano nyuma. Vipi bado msimamo wako uko vile vile?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Naona mnyama anatembea mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…