Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Bado hujazaliwa upya mkuu! Sijui Simba wana mchawi gani toka Mars!

Katika makundi yote wao Simba ndo wana kundi jepesi kama karatasi japo nakuunga mikono na miguu hawafiki hata kibaha kwa matiasi!
Kundi jepesi? Visingizio vimeanza mapema?
 
Siyo ya CAF ni ya kiulimwengu maana yake hata CAF ipo ndani yake na wanahusika moja kwa moja kutoa data zinazohusu Club za AFRICA
Ulisema CAF hawawezi kutumia takwimu za miaka mitano nyuma. Vipi bado msimamo wako uko vile vile?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mpira hauna formula mkuu kwamba kwavile A kafungwa na B basi C nae atafungwa kama alivyofungwa pia. Ingekuwa hivyo basi hata Yanga aliyemtoa Club African apigiwe hesabu hizo hizo.View attachment 2443999

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kweli mambo hayafati itifaki
Screenshot_20221214-185022.png
 
Back
Top Bottom