Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Kundi jepesi? Visingizio vimeanza mapema?Bado hujazaliwa upya mkuu! Sijui Simba wana mchawi gani toka Mars!
Katika makundi yote wao Simba ndo wana kundi jepesi kama karatasi japo nakuunga mikono na miguu hawafiki hata kibaha kwa matiasi!