Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Yanga wana route ya kwenda Tunisa tena

==========

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limekamilisha droo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho, Yanga ya Tanzania ikiwa Kundi D pamoja na US Monastir ya Tunisia, TP Mazembe ya DRC na Real Bamako ya Mali.

Kuna jumla ya makundi manne yaliyopangwa ambapo michezo ya Hatua ya Makundi inatarajiwa kuanza Februari 2, 2023 na kuendelea hadi Aprili 2, 2022.
 
Yanga wamepangiwa TP Mazembe na Watunisia kwenye kundi Shirikisho.

Orodha kamili ya makundi yote tazama hii hapa chini

1670844291824.png
 
Back
Top Bottom