changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Yanga haina haja ya kutegemea kwa Mkapa kikubwa achange karata zake za kupata point tatu haijalishi anachezea wapi. Afanye kama alivyofanya dhidi ya Club African, pale alipokosea dhidi ya Al Hilal kule Sudan kwa kucheza mpira mkubwa bila ya kupata matokeo arekebishe hilo. Simba wamejijengea mfumo wa kuwika nyumbani halafu ugenini anaweza kucheza ovyo kama digidigi stars. Yanga waweke mfumo wao wa kushinda popote pale na mpira wa hali ya juu.Yanga ndio watajua kwann kwa Mkapa huwa Simba hatuachi alama
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app