Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al Ahly naye tunamtaka ana point zetu huyoGroup C
Simba
Vipers
Sio wepepsi hao mkuuNataka tupangwe na timu ngumu zaidi hao Vipers wanaonewa tu
Hapa kweli watu watasema Simba ina bebwaGroup C
Simba
Vipers
Horoya
Hao mi nachapa hamna timu hapoSio wepepsi hao mkuu
Hivi nyie Huwa mnaishi Kwa kukariri?Simba na raja, horoya na vipers .. mnyama anaongoza group
Anayeongoza Group maana yake ndio mkubwaSimba na raja, horoya na vipers .. mnyama anaongoza group
Hawa ndio wenye bahati mbaya?Group C
Raja Casablanca
Horoya
Vipers
Waangalie hao afu wafananishe na Al Ahly ambao kila wakija hapa wanapasukaHapo Simba anatapa point Kwa nani wanazengo
Shoo za kiume hizi, kaa pembeni ..Hivi nyie Huwa mnaishi Kwa kukariri?
Sahihi mkuu..Anayeongoza Group maana yake ndio mkubwa
Hilo tu linatosha kuwatoa mchezoni
Na msimamo utaisha Simba akiwa juu, wa huku chini watajijua wenyewe
Ukiachilia mbali kipigo kinachoenda kuwapata huko nje ya nchi, sidhani kama mtaweza kupeleka timu.Hawa ndio wenye bahati mbaya?