Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya inbox hayo
Mpira ni mchezo wa wazi kabisa,tena unachezwa hadharani.......Ngoja tuoneSimba wata advance kwenda round ya mtoano. Kwa jinsi kundi linavyoonekana.
DIGIDIGI TENA DAHYanga haina haja ya kutegemea kwa Mkapa kikubwa achange karata zake za kupata point tatu haijalishi anachezea wapi. Afanye kama alivyofanya dhidi ya Club African, pale alipokosea dhidi ya Al Hilal kule Sudan kwa kucheza mpira mkubwa bila ya kupata matokeo arekebishe hilo. Simba wamejijengea mfumo wa kuwika nyumbani halafu ugenini anaweza kucheza ovyo kama digidigi stars. Yanga waweke mfumo wao wa kushinda popote pale na mpira wa hali ya juu.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Wale maliamo mkapanga Chama na PhiliHadi Z kipo
HUWAJUI VIPERSNataka tupangwe na timu ngumu zaidi hao Vipers wanaonewa tu
Ningekupa ila tatizo iyo laki Moja utaipeleka kubwia unga/ ngadaNikopeshe laki moja jioni ntakurejeshea, fanya upesi tukakomboe basi.
Unamzidi nini Holoya wewe?Hususani Yanga
Tp Mazembe ya saizi haieleweki inacheza nini yani tia maji tia maji tu
Hao watunis nao inaonekana ni clone ya Club Africain, huyo mwingine ndio simjui hata rekodi yake
Ila upande wa Simba naye muheshimu ni Raja Casablanca tu kuwa atanisumbua, hao wengine waliobaki ni vipigo tu
Boli linabadilika mkuu.. Kwa Simba ya sasa sioni kama ina future nzuri uko kimataifa. Kama hulioni ilo muda utakupa majibu mujarabuWaangalie hao afu wafananishe na Al Ahly ambao kila wakija hapa wanapasuka
Niambie unamuona nani hapo anayesalimika?
Umewadia ule wakati wa Simba kuendelea kukalia hamsa hamsa.Hawa wacheza boringo wa uto, watakohoa damu kwenye hili group
Iyo ni Bahati mkuu na ipo kwenye mchezo wa mpira ila ubora ndio kitu cha awali halafu ivyo vingine vinafata..Mpira ni dakika 90, ndugu.
Kwani nani alijua kuwa Ihefu ikiwa timu ya mwisho kwenye NBC, ingeifunga YANGA? ( Timu yenye uwekezaji mkubwa).
Kwa kikosi hiki cha akina Kibu?Mambo yote yanafanyika kimahesabu
Wote hao wana point 9 zetu kwa mkapa
Kati ya hao kuna natafuta mmoja wa kutoa sare naye kwake ikiwezekana na kipigo kabisa
Baada ya hapo hata unifunge goli 5 haiwezi fanya nisipite
Ni swala la hesabu tu
Sisi ndio tulitaka vileWale maliamo mkapanga Chama na Phili
Sure ni muda kwa club za Tanzania kuweka heshima na kupiga pesaHususani Yanga
Tp Mazembe ya saizi haieleweki inacheza nini yani tia maji tia maji tu
Hao watunis nao inaonekana ni clone ya Club Africain, huyo mwingine ndio simjui hata rekodi yake
Ila upande wa Simba naye muheshimu ni Raja Casablanca tu kuwa atanisumbua, hao wengine waliobaki ni vipigo tu
Kwasababu walikufunga wewe?HUWAJUI VIPERS
Vipers sio timu yakuisumbua simba hata kidogo ktk michuano hii..Bado watoto wadogo sana linapokuja swala la mashindano ya caf hata kama wanatimu nzuri..HUWAJUI VIPERS