Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Yanga haina haja ya kutegemea kwa Mkapa kikubwa achange karata zake za kupata point tatu haijalishi anachezea wapi. Afanye kama alivyofanya dhidi ya Club African, pale alipokosea dhidi ya Al Hilal kule Sudan kwa kucheza mpira mkubwa bila ya kupata matokeo arekebishe hilo. Simba wamejijengea mfumo wa kuwika nyumbani halafu ugenini anaweza kucheza ovyo kama digidigi stars. Yanga waweke mfumo wao wa kushinda popote pale na mpira wa hali ya juu.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
DIGIDIGI TENA DAH
 
Hususani Yanga

Tp Mazembe ya saizi haieleweki inacheza nini yani tia maji tia maji tu

Hao watunis nao inaonekana ni clone ya Club Africain, huyo mwingine ndio simjui hata rekodi yake

Ila upande wa Simba naye muheshimu ni Raja Casablanca tu kuwa atanisumbua, hao wengine waliobaki ni vipigo tu
Unamzidi nini Holoya wewe?
 
Hilo kundi tukijipanga vizuri, hatuwezi kukosa nafasi ya 2. Muhimu tu wachezaji waachane kabisa na ile tabia yao ya ufather.
 
Mambo yote yanafanyika kimahesabu

Wote hao wana point 9 zetu kwa mkapa

Kati ya hao kuna natafuta mmoja wa kutoa sare naye kwake ikiwezekana na kipigo kabisa

Baada ya hapo hata unifunge goli 5 haiwezi fanya nisipite

Ni swala la hesabu tu
Kwa kikosi hiki cha akina Kibu?
 
Hususani Yanga

Tp Mazembe ya saizi haieleweki inacheza nini yani tia maji tia maji tu

Hao watunis nao inaonekana ni clone ya Club Africain, huyo mwingine ndio simjui hata rekodi yake

Ila upande wa Simba naye muheshimu ni Raja Casablanca tu kuwa atanisumbua, hao wengine waliobaki ni vipigo tu
Sure ni muda kwa club za Tanzania kuweka heshima na kupiga pesa
 
Back
Top Bottom