Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Siwajui hawa jamaa na hawana jina kwenye soka la Africa na isitoshe Kipanga ni jamii ya kina Zalan tu siyo kipimo cha kufanya analysis.

Hapa ndio anataka kuona Uprofesa wa Nabi na mikakati ya viongozi wa Yanga.
Kama hujui historia ya mpira wa africa bora ukanyamaza, yaan useme club africain hawana jina kwenye soka la africa, umezaliwa jana au juzi? Maana hawa kila mwaka wapo huko shirikisho washafanya makaz yao kama walivyo pyramid na berkane
 
Mara ya mwisho Al Ahaly mabingwa wa kihistoria Champions league waliwatowa Yanga chovu kwa penati kwao Cairo, msikariri.
Na we usikariri historia Tu hizo....na wakati huo Al ahly nao walikuwa wachovu ..yanga ilikuwa ya kina Emmanuel okwi, Daniel Ngoma na kina msuva ..ulinzi cannavaro, n golini munishi dida unataka kusema Ile ilikuwa yanga mbovu.? Acha kutuongopea Mzee[emoji23]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kamati ya mazishi mimi naahidi kununua sanda kule Tunisia maana nimesikia mmeamua kwamba mazishi yawe kulekule.
 
Unakuaga na mikosi kila unalo ombea linakwama
 
Asante studio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…