Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kama vipi wajipime na Vipers😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji nao wabadilike sasa! Wameanza tabia za kifaza. Hawana kabisa shauku ya kuwaziba midomi wapinzani wwtu wa jadi!Kwa Mara ya kwanza sina mzuka kabisa na mechi ya jumapili, tunaopenda timu na siyo oyaoya akili zote na nguvu zote tunataka zielekezwe kwenye plyoff hii kuanzia leo, ikiwemo kubook international friends game ugenini Tena kwa Warabu Jirani na Tunisia.
Uongozi wakishindwa kufanya hili nitawashangaa sana.
Nakumbuka Simba ilipoitowa Zamaleki mwaka 2003 iliikalia kambi Oman wiki mbili.
HiiNi kweli As Vita Vs Kadiogo haijachezwa,ngoja wajuvi watujuze.
Yanga wenye akili wapo wawili tu.Sasa kama ni uongo wewe weka taarifa sahihi
Taarifa sahihi ni kuwa huo uwanja wa Stade olympiaue Hammad Agrebi unamilikiwa na serikali ya Tunisia,Sasa kama ni uongo wewe weka taarifa sahihi
Ni kwa sababu wikiendi ambayo Kadiogo ilitakiwa kucheza na AS Vita kulikuwa na mapinduzi ya kijeshi nchini Burkina Faso. Hivyo mechi iliahirishwa kwa sababu za kiusalama. Wameshacheza mechi ya kwanza Wikiendi iliyoisha, mechi ya marudiano imepangwa kufanyika Alhamisi Oktoba 20, 2022 huko Kinshasa.Ivi kwa nini as vita hajacheza mpaka leo
Lakini kwa yule Mwarabu mweusi tulisema iwe jua iwe mvua matokeo yake ikawa bariiiidi. Sasa kumbuka huyu ni Mwarabu mweupe. Basi tucheze na Kipanga kama wote malooser🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Kwa hiyo kwenye hoja zote umeona ya uwanja tu? Basi tujikite kwenye uwanja huo, Je Club Africain hawautumii kama uwanja wa nyumbani? Hauna capacity ya kubeba watu 60,000? Sio uwanja huo Kipanga alipigwa 7-0?Taarifa sahihi ni kuwa huo uwanja wa Stade olympiaue Hammad Agrebi unamilikiwa na serikali ya Tunisia,
Siku nyingine jifunze kupata taarifa sahihi na sio kukurupuka!
Na trip hii Nabi lazima ajikite kwenye uzalendoLakini kwa yule Mwarabu mweusi tulisema iwe jua iwe mvua matokeo yake ikawa bariiiidi. Sasa kumbuka huyu ni Mwarabu mweupe. Basi tucheze na Kipanga kama wote malooser🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Wachezaji waache ubinafsi na ufaza! This time, sitawatetea kwa lolote. Huwezi ukawa mchezaji wa mpira, halafu una kitambi kama mfanyakazi wa bandari.
Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho.
Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022.
Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa kuanza Februari 12, 2023 hadi.
Aprili 2, 2023
============
Wakuu droo inafanyika leo kuanzia saa 8 mchana. Kupitia Azam HD tutajua ndugu zetu Utopolo watapangiwa na nani.
POTS for CAF Confederation Cup PLAY-OFF ROUND!
POT 1
🇨🇩 TP Mazembe
🇨🇮 ASEC Mimosas
🇲🇱 Djoliba
🇱🇾 Ahli Tripoli
🇦🇴 Primeiro de Agosto
🇸🇿 Royal Leopards
🇧🇫 Kadiogo / 🇨🇩 Vita Club
POT 2
🇨🇮 Gagnoa
🇲🇱 AS Real
🇱🇾 Al Akhdar
🇿🇦 Royal AM
🇨🇩 Eloi Lupopo
🇿🇦 Marumo Gallants
🇲🇦 AS FAR
🇪🇬 Future FC
🇨🇬 Diables Noirs
POT 3
🇳🇬 Rivers United
🇳🇬 Plateau United
🇳🇪 Nigelec
🇹🇳 US Monastir
🇸🇨 La Passe
🇹🇬 ASKO de Kara
🇧🇮 Flambeau du Centre
🇿🇦 Cape Town City
🇹🇿 Young Africans
POT 4
🇩🇿 USMA
🇲🇦 RS Berkane
🇪🇬 Pyramids
🇹🇳 CS Sfaxien
🇱🇾 El Nasr
🇹🇳 Club Africain
🇨🇩 DCMP
Droo itafanyika kwa Timu za Pot 1 kwa Pot 2. Pia Pot 3 kwa Pot 4. Timu 2 zitakazobaki itafanyika droo ya zenyewe kwa zenyewe.
Mungu ibariki Yanga ipangiwe kati ya Berkane, USMA, Pyramids, CS Sfaxien na Club Africain. Kisha watujibu kama hili ni kombe la looser au vepe
Updates
Young Africans vs Club Africain
Kifupi wameingia mtumbwi wa vibwengo. Ataanzia hapa kisha ugenini
Sasa Kipanga unamfananisha na Yanga?Kwa hiyo kwenye hoja zote umeona ya uwanja tu? Basi tujikite kwenye uwanja huo, Je Club Africain hawautumii kama uwanja wa nyumbani? Hauna capacity ya kubeba watu 60,000? Sio uwanja huo Kipanga alipigwa 7-0?
Samahani nimekosea. Kipanga ni bora zaidi ya YangaSasa Kipanga unamfananisha na Yanga?
Nimecheka sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Slogan ya sasa iwe
Bwana Mikononi Mwako Naiweka Roho Yangu
Sio nyuma maelewano au kawaida?Timu yoyote atakayopangiwa nayo hapo itaitoa daima mbele nyuma mwiko