Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

.
IMG_20221018_142357.jpg
 


Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho.

Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022.

Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa kuanza Februari 12, 2023 hadi.

Aprili 2, 2023
============

Wakuu droo inafanyika leo kuanzia saa 8 mchana. Kupitia Azam HD tutajua ndugu zetu Utopolo watapangiwa na nani.

POTS for CAF Confederation Cup PLAY-OFF ROUND!

POT 1
🇨🇩 TP Mazembe
🇨🇮 ASEC Mimosas
🇲🇱 Djoliba
🇱🇾 Ahli Tripoli
🇦🇴 Primeiro de Agosto
🇸🇿 Royal Leopards
🇧🇫 Kadiogo / 🇨🇩 Vita Club

POT 2
🇨🇮 Gagnoa
🇲🇱 AS Real
🇱🇾 Al Akhdar
🇿🇦 Royal AM
🇨🇩 Eloi Lupopo
🇿🇦 Marumo Gallants
🇲🇦 AS FAR
🇪🇬 Future FC
🇨🇬 Diables Noirs

POT 3
🇳🇬 Rivers United
🇳🇬 Plateau United
🇳🇪 Nigelec
🇹🇳 US Monastir
🇸🇨 La Passe
🇹🇬 ASKO de Kara
🇧🇮 Flambeau du Centre
🇿🇦 Cape Town City
🇹🇿 Young Africans

POT 4
🇩🇿 USMA
🇲🇦 RS Berkane
🇪🇬 Pyramids
🇹🇳 CS Sfaxien
🇱🇾 El Nasr
🇹🇳 Club Africain
🇨🇩 DCMP

Droo itafanyika kwa Timu za Pot 1 kwa Pot 2. Pia Pot 3 kwa Pot 4. Timu 2 zitakazobaki itafanyika droo ya zenyewe kwa zenyewe.

Mungu ibariki Yanga ipangiwe kati ya Berkane, USMA, Pyramids, CS Sfaxien na Club Africain. Kisha watujibu kama hili ni kombe la looser au vepe

Updates
Young Africans vs Club Africain
Kifupi wameingia mtumbwi wa vibwengo. Ataanzia hapa kisha ugenini

yani mwaka huu yanga na waarabu tu 😡😡😡
 
View attachment 2391127
View attachment 2391128
View attachment 2391129
View attachment 2391130
View attachment 2391131

Hawa Club African wana Miaka 102 Toka Waanzishe, Wamesha Chukua CAF Champion league, Kwao Wana Makombe kama 13 , Mashabiki wake ni Vichaa Zaidi ya Al Hilali Ya Sudan….. Hawafai wala Kufaaa…. Mwaka huu ndio wapo Motooo kuliko miaka yoyote ilee.

Al Hilali Alisha pigwa 3 moja Kule kwao…. Wao kucheza Ligi Mabingwa Ni Kawaidaa Sanaaaa wanarudi Tanzania Kwa Mara ya Pili katika Huu Mwaka…. wana Ndege yao Binafsi
Mkuu umechambua kwa hisia kali sana utasema ni Mtunisia og hahahahaha
 
Mechi ya pili ndo hua inahitimisha na kuthibitisha nani ana qualify. Hivyo bora umalize home ujue unapanga vipi mechi.
Angalia Simba ilivyomaliza mechi zake zote kirahisi. Tazama Al Hilal kwenye mechi zake za St.George na Yanga. Kumaliza home ni advantage
 
Angalia Simba ilivyomaliza mechi zake zote kirahisi. Tazama Al Hilal kwenye mechi zake za St.George na Yanga. Kumaliza home ni advantage
Hakuna cha home wala wapi usipo jipanga utapigwa popote siku hizi marefa wamenyooka
 
Hahahaaa haya sasa kazi kwenu utopolo ....kila mnakoenda mnakutana na kigongo yaaan mpaka mkome ...si mda mtapoteana na huyo profesoli Nabi si mda mrefu mnamtupia vilago kwanza 23 tu tunawakanda ..[emoji16][emoji16]
Simba tunapigia tena, tunajua style za kuwakojoza vizuri tu.
 
Utasikia Yanga wanasema "Hao ni ndugu zetu wa damu kabisa. Wao African Club sisi Young African"

Halafu wanaenda kupokea kipigo kizito wanarudi wanaliaaa.
Kwani Simba si alikuwa anakalia tano tano?
 
Back
Top Bottom