Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Mi kwa mapyramids nilisema akhaaaa
Ila hawa wanaweza wakavaana
Screenshot_20221018-143201_Chrome.jpg
 
Siwajui hawa jamaa na hawana jina kwenye soka la Africa na isitoshe Kipanga ni jamii ya kina Zalan tu siyo kipimo cha kufanya analysis.

Hapa ndio anataka kuona Uprofesa wa Nabi na mikakati ya viongozi wa Yanga.
Achana na Kipanga, yapo vizuri. Ni kama kina Berkane na Pyramid tu. Hawapati nafasi champions kwa sababu ya matimu makubwa yanaingia 2
 
Back
Top Bottom