Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Siwajui hawa jamaa na hawana jina kwenye soka la Africa na isitoshe Kipanga ni jamii ya kina Zalan tu siyo kipimo cha kufanya analysis.

Hapa ndio anataka kuona Uprofesa wa Nabi na mikakati ya viongozi wa Yanga.
Achana na Kipanga, yapo vizuri. Ni kama kina Berkane na Pyramid tu. Hawapati nafasi champions kwa sababu ya matimu makubwa yanaingia 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…