Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Nilisikia sehemu kuwa Canal+ wapo kwenye mchakato wa kuomba leseni kwa ukanda mzima wa East African.
Bado ligi ya Uingereza Hawajaanza kutoa leseni Hizo kwetu, ngoja tuone mnada ukianza, kikawaida Kusini mwa jangwa la Sahara anauziwa Mtu mmoja tu.

Na ikitokea wameshinda wawili wanagawana mechi mfano enzi za G sport na Supersport.
 
Saasawa, Chief

Thanks
 
DSTV kama mtu huna uwezo wa kulipia kifurushi cha

Premium na Compact Plus halafu bado unatumia DSTV

Asee wewe ni moja ya wale watu majeuri sio kawaida.

Hahaha mimi hata kile COMPACT ni mtihani kulipia, mwisho wangu ni BOMBA, sasa nimeamua kuhamia Canal+ naenjoy soka safi tena kwa HD.
 
Hahaha mimi hata kile COMPACT ni mtihani kulipia, mwisho wangu ni BOMBA, sasa nimeamua kuhamia Canal+ naenjoy soka safi tena kwa HD.
Mtu mwenye DSTV halafu analipia kifurushi cha BOMBA

hana tofauti na mtu mwenye tv ila hana king'amuzi yeye ana

Flash yake kajaza mamuvi na mamiziki anarudia miziki ile ile kila

akirudi zake kazini na anacheki muvi zile zile kila day iendayo leo.
 
authorities must stop this Multichoice's consumer manipulation immediately..... this increase amounts to bloody daylight robbery!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…