samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,602
- 4,811
Sasa kingamuzi Local news kina TBC tu cha kazi gani?Unataka kuhangaika na hio SUPERBLAND?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kingamuzi Local news kina TBC tu cha kazi gani?Unataka kuhangaika na hio SUPERBLAND?
Mambo ya pricing haya mtu hawezi kuona hii ni 20000 bali ataona 19900 toka 19000 bomba, 29900 bali ni 30000 toka 29000 family nk vifurushi vya dstv wanabadilika kila wakati sijui ni vigezo gani wanatizamia,Mwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171
Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
Kwani kwa sasa ITV ina utofauti gani na Tbc mkuu?Sasa kingamuzi Local news kina TBC tu cha kazi gani?
Sasa tusiopenda mpira,tunaumia bila sababu za msingiNafikiri sababu ya kuirudisha ESPN SPORTS ndio kuongezeka kwa gharama
MM tv yangu ni smartphoneMwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171
Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
Kuipata frequency inakuwa poaChannel namba ngapi na naipataje????
Canal ni Equivalent ya Dstv kwa Nchi zinazoongea Kifaransa. Ipo fresh, sijaitumia Nyumbani ila Vibanda umiza nimeiona sana, changamoto yake ni signal, fanyia utafiti eneo uliopo.Mkuu nimepata Canal Dish na be yao ni laki 300k nimeshawishika kuinunua maana hii Dstv Gharama inanishida kabsa, vip ushawahi kuitumia au kupata changamoto yeyote? Maana nimeona ina sehemu ya HDMI bila shaka ina channel za HD.
Canal ni Equivalent ya Dstv kwa Nchi zinazoongea Kifaransa. Ipo fresh, sijaitumia Nyumbani ila Vibanda umiza nimeiona sana, changamoto yake ni signal, fanyia utafiti eneo uliopo.
Na kama wanavyosema wadau 300k ni kubwa yanapatikana around 100k mpaka 200k, search humu ndani wapo wauzaji.
Mpya kabisaHapa naambiwa mwisho 250,000 sasa hilo la 180,000 ni used au jipya?
Yananyika kwa Wakala kwa njia ya M-Pesa na tiGO Pesa.Ahsante mkuu vip malipo yake yanafanyikaje? Maana kwenye orodha malipo siioni Canal
Kuna za Kiingereza na KifaransaMkuu channel zao za movies zinatumia lugha ya Kiingereza au nazo ni kifaransa?
Mkuu Canal+ kwa sasa wameongeza coverage yao,ili mradi umpate fundi mwenye uzoefu nayo kuifunga.Canal ni Equivalent ya Dstv kwa Nchi zinazoongea Kifaransa. Ipo fresh, sijaitumia Nyumbani ila Vibanda umiza nimeiona sana, changamoto yake ni signal, fanyia utafiti eneo uliopo.
Na kama wanavyosema wadau 300k ni kubwa yanapatikana around 100k mpaka 200k, search humu ndani wapo wauzaji.
Mkuu Canal+ kwa sasa wameongeza coverage yao,ili mradi umpate fundi mwenye uzoefu nayo kuifunga.
Sababu Ya Congo, na Dstv muda wowote anaweza Kulalamika wakapunguza coverage.Mkuu Canal+ kwa sasa wameongeza coverage yao,ili mradi umpate fundi mwenye uzoefu nayo kuifunga.
Unatuma hela kwanza then unasema mahali ulipo unatumiwa mzigo wako,Kama upo Dar unaufuta pale Ubungo Stand.Malipo yanafanyika before au after? Nikishapokea nakutumia pesa yako?
Je hicho king’amuzi kina HDMI?
Nilisikia sehemu kuwa Canal+ wapo kwenye mchakato wa kuomba leseni kwa ukanda mzima wa East African.Sababu Ya Congo, na Dstv muda wowote anaweza Kulalamika wakapunguza coverage.
Al jazeera pia Ilikuwa hivi hivi.
Unajua kuna vitu huwa havimake sense ila wahusika wanakuwa wanapambana na mazingira fulani yanayowakwamisha kufanya maamuzi mazuri.Ni vizuri kama wangeshusha gharama zao ili ziwe chini sana halafu wateja wangekuwa wengi sana.
Kama Dstv huko South Afrika gharama ziko chini sana, kwanini Tanzania ishindikane?