granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
aisee si poa kabisa mrisho mpoto anawaambia watu na phd zao watulie awape shule kuhusu uwekezaji wa dpw bandarini, nilishangaa na kushangaa kwa kwelHivyo ni vijembe, amewalaghai viongozi wa TEC halafu anamtuma huyo Zezeta awapige Vijembe.
Mimi binafsi msimamo wangu kuhusu sakata la Bandari nlishauweka wazi lakini sijafurahishwa na mambo waliofanyiwa Viongozi wa TEC ni kukosa Hekima na Busara.aisee si poa kabisa mrisho mpoto anawaambia watu na phd zao watulie awape shule kuhusu uwekezaji wa dpw bandarini, nilishangaa na kushangaa kwa kwel
Propaganda za dini tu. Nchi haiendeshwi kwa maombi. Hayo yote yaliyokuwa pale ni mafisadi tu. Wanaojifanya wacha Mungu kutuletea Maoadri na Mashehe ili waonekane wasafi. Bure kabisa.Unafikiri pale waliitwa kulikuwa na nini kinaendelea? Wakae wajambe jambe tu?
Ukweli mchungu.Dua yoyote kwenye shuguli za kuserikali ni unafki tu iwe ya kikristo au kislam. Hata wale wanao hapa huku wameshikilia biblia na wengine quran, ni unafki tu
Ova
Andiko lako hili linathibitisha kuwa CCM imeshindwa kabisa kwa asilimia 100 kuongoza nchi.Hilo ni wazi kabisa, msukule wao Slaa kishalitangaza.
Ndugu yangu hawa maaskofu wameumizwa na bandar kuboreshwa mifumo yake.
EWao ndiyo wanufaika wa kwanza kwa mifumo mibovu pale bandarini, na zaidi wametumia joho la dini kufanya ufisadi mkubwa sana pale bandarini kwa miaka mingi sana.
Ushahidi wa kwanza, unaona sasa hivi vitu vya "promosheni" vilivyokuwa vinasambazwa nchi nzima kwa bei za kutupa?
Nikupe "Satanic Verses" usome!!??Dini ya Allah haihitaji mtu kuikuza, inakuwa kwa haraka kuliko dini yoyote duniani, licha ya kupigwa vita vikubwa.
Hilo ni wazi kabisa.
Good. Badala ya kufanya maombi, fanyieni kazi report ya CAG.Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Zaidi ya hii:Nikupe "Satanic Verses" usome!!??
Umri wako hauendani na tabia yako, umeweka dini mbele kuliko kitu chochote. Jitahidi kuheshimu Imani za wengine.Hilo ni wazi kabisa, msukule wao Slaa kishalitangaza.
Ndugu yangu hawa maaskofu wameumizwa na bandar kuboreshwa mifumo yake.
EWao ndiyo wanufaika wa kwanza kwa mifumo mibovu pale bandarini, na zaidi wametumia joho la dini kufanya ufisadi mkubwa sana pale bandarini kwa miaka mingi sana.
Ushahidi wa kwanza, unaona sasa hivi vitu vya "promosheni" vilivyokuwa vinasambazwa nchi nzima kwa bei za kutupa?
Hivi unaweza kukubaki mjukuu wako wa miaka 8 kuolewa!!??Zaidi ya hii:
16 Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi.
Usiwalazimishie ujinga! Natamani kukugegeda wewe bibi!Wameshindwa hata kutaja neno "bandari"?
Yah. Kwa hiyo na wewe uko kwenye system siyo. I miss Magufuli (RIP)Ahsate kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Masheikh wanajua nini,elimu dunia zero.Pelekeni Masheikh shule haya mambo ya kuchukua la saba B yamepitwa na wakati.Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Nafuu hakuombea bandari, Mungu wetu si wa udanganyifu nyie muombeni Allah...Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.