Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Kwanza wamesababisha soko letu la ndani kupanda bei kwa bidhaa za nafaka 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kujadili mada kwa jazba, soma uelewe kilichoandikwa kwanza!.Naona wajinga mnaungana kujijibu
Rwanda wana maslahi msee. Under french umbrellaTanzania ina masilahi gani Kongo? Au kule Msumbiji pia Rwanda ina jeshi je wana masilahi gani? Burundi ina jeshi Somalia je Wana masilahi gani? Mambo memgine kama.haya yana kuzidi uwezo, ni bora ukajadili maada za fumanizi ndio levo zako
Kakwambia nani hakitoshi!?Naona hujafikiri vizuri hatukatai biashara lakini huwezi uza kwa jirani wakati kwako hakitoshi utakuwa punguwani.
Nchi gani inatumia zaidi bandari ya dar!? Biashara kati ya tz na kongo ni kiasi gani!?Tanzania ina masilahi gani Kongo? Au kule Msumbiji pia Rwanda ina jeshi je wana masilahi gani? Burundi ina jeshi Somalia je Wana masilahi gani? Mambo memgine kama.haya yana kuzidi uwezo, ni bora ukajadili maada za fumanizi ndio levo zako
Diplomatic Intelligence....ni kipaumbele kikubwa katika muda huu wa Dunia...waulize Morocco watakupa JIBURuto akiwa makamo wa Rais alihusishwa na njama ya Kenya kusitisha manunuzi ya mahindi kutoka Tanzania.
Hiyo ilitokana na Ruto kufadhili mashamba makubwa ya mahindi nchini DRC ambapo inadaiwa kuwa alijipanga kutoa huduma hiyo kuanzia miaka ya 2020 lakini mpango ukabuma.
Kuna wakati mahindi yetu yalikataliwa kuingia Kenya kwa sababu yameathiriwa na sumu kuvu. Hivi sasa yuko kiti kirefu, inawezekana Amerika kusini inapakaziwa tu, karibu zaidi kama siyo Tanzania basi ni DRC.
Mkuu Rwanda analipwa na France (via EU) kwa jeshi lake kuwa Mozambique. Majeshi yaliyoko Somalia yanalipwa na UN. Naona ulikuwa behind news.Tanzania ina masilahi gani Kongo? Au kule Msumbiji pia Rwanda ina jeshi je wana masilahi gani? Burundi ina jeshi Somalia je Wana masilahi gani? Mambo memgine kama.haya yana kuzidi uwezo, ni bora ukajadili maada za fumanizi ndio levo zako
Maslahi mahindi?Huwezi kupeleka watu wakafe huko bila kuwa na maslahi, miaka yote hiyo hawakupeleka majeshi leo hii Kenya wako huko japo wana kipolo Somalia ambacho kimevunda miaka.
Ccm. Hawana akili kabisa,badala ya kulima zaidi Ili tulichukue soko,sisi soko tunaliogopa!!tunafunga mipaka nafaka isitoke!View attachment 2449797
Kenya wamepanga kuagiza tani 900,000 za mahindi na tani 600,000 za mchele kutoka nchi kwa njia ya meli kutoka nchi za Amerika
Shehena hiyo ya mchele na mahindi ni kwa ajili ya kufidia upungufu wa chakula kwa mwaka 2023 kwa kuwa uzalishaji wa ndani ni mdogo
Hii ni habari njema kwa wale waliokuwa wakitaka serikali ifunge mipaka ili tusiuze chakula nje, bei ishuke ndani
Naona Kenya wameamua kufanya biashara na nchi zinazojielewa, zenye uhakika wa uzalishaji
Sio kufanya biashara na nchi ya wavivu na walalamishi wasiotaka kulima ili kujitosheleza kwa chakula chake wenyewe, inakuwa ni biashara isiyokuwa ya uhakika
Na kwa kukosekana kwa soko la Kenya, kilimo sasa kitakuwa ni zaidi ya biashara kichaa, wataendelea kulima losers waliokosa ishu ya kufanya mjini, ila sidhani kama kuna mtu mwenye mtaji serious ataenda kuwekeza kwenye bidhaa isiyokuwa na soko la uhakika
Ccm. Hawana akili kabisa,badala ya kulima zaidi Ili tulichukue soko,sisi soko tunaliogopa!!tunafunga mipaka nafaka isitoke!
Soko lipo Kenya,akili kubwa ilikuwa kuwekeza kwenye kilimo Cha kisasa kama ukraine,sie tunafanya kinyume
Kilimo cha Tanzania sio cha kibiasharaNi kosa kubwa sana la kiuchumi kulipoteza soko la nafaka la Kenya.
Soko hutafutwa, na likipatikana hulindwa. Watanzania kama kweli tuna akili, hatukustahili kabisa kulalamika kama nafaka zetu zilikiwa zinatoka nje ya mipaka ya nchi yetu. Hiyo ilikuwa ni fursa nzuri sana kiuchumi. Ulikuwa ni wakati wa kuzidisha uzalishaji kwa nguvu zote.
Kwa mvua zinavyoendelea **** uwezekano wa kuwa na mahindi mengi mwakani. Ikiwa hivyo, utakuwa ni mwaka wa kuwaua wakulima.
Inawezekana pia Amerika ya Kusini ni kweli. Atakuwa alishapiga deal la GMO. Sasa baada ya mahakama kumkatalia asilime mahindi ya GMO, kaona Sasa awalishe mahindi ya GMO maana huko American ya Kusini mahindi yaliyobafilishwa vinasaba(GMO) ndiyo nyumbani kwake.inawezekana Amerika kusini inapakaziwa tu,
Kuna ng'ombe kazi kulialia mkuu Zina unganisha maswara ya uchumi na siasa they know nothing's More than ccm na chademaNi kosa kubwa sana la kiuchumi kulipoteza soko la nafaka la Kenya.
Soko hutafutwa, na likipatikana hulindwa. Watanzania kama kweli tuna akili, hatukustahili kabisa kulalamika kama nafaka zetu zilikiwa zinatoka nje ya mipaka ya nchi yetu. Hiyo ilikuwa ni fursa nzuri sana kiuchumi. Ulikuwa ni wakati wa kuzidisha uzalishaji kwa nguvu zote.
Kwa mvua zinavyoendelea **** uwezekano wa kuwa na mahindi mengi mwakani. Ikiwa hivyo, utakuwa ni mwaka wa kuwaua wakulima.