Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Naona unapanic tu bure brother,Wameagiza tani 900,000 kufidia uzalishaji wa ndani
Hizo tani laki 9 plus mahindi watakayovuna wao, unafikiri watahitaji mahindi yenu tena?
Kenya walitengeneza hadi Galana Project ili kupata food security lakini bado haijapatikana
Inshort Ruto anacheza mind games tu lakini anajua fika Kenya haiwezi survive bila importation ya chakula na hawana best option zaidi ya Tanzania. Take it or leave it
Mkenya akija Tz atatamani kuondoka na mchele, vitunguu, viazi na products nyinginezo kwa sababu ya ubora wake na isitoshe Kenya ni free market, unadhani Ruto ana power ya kuwazuia wafanyabiashara wa Kenya kuja Tz
Na akifanya hivyo unadhani nani kwenye huu uhusiano anamtegemea mwenzie zaidi, matter of fact wa Kenya wana investments nyingi zaidi Tz ambazo serikali ikizipiga pin utaskia kelele kila kona
Inshort ruto sio wa kwanza kuplay hizi games na ni muhimu sababu ya uchumi wake lakini wote tunajua tunategemeana